Otea ni nani huyu.......!!!!

Amin amin nakwambia mkuu.....hakika wewe si mmoja ya wale wantakiao mema!
Hahahaaaahaaha.

Basi mkuu chukua mtwara kwenye gesi uwe bilionea., au nikupe kanda mkuu, chukua kanda ya ziwa mkuu, kanda inayotiririka maziwa na asali.

Vipi kuhusu hizo mkuu??.
 
Huyo ni Ernesto Che Guevara 100%
Katika avatar yangu, ni huyo wa kushoto, ila ya kwako hapo alikuwa bado yanki sana.
Yes he was 22yrs old by then mkuu. Ilikua 1951
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…