Otea babu alishika wapi?

ndendi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
625
Reaction score
186
Babu na bibi walienda shamba,babu alikuwa kipofu,bibi akapanda mnazini,kumbe alikuwa hajavaa nuo ya ndani,kwa bahati mbaya akaanguka,babu akamshika sehemu akijua ni mdomo,akamwambia meno yote yameisha limebaki moja tu,na lenyewe linatingishika,bibi akamuambia we acha huko sio mdomo huo,swali,je babu alishika wapi?
 
...khaa!...wewe kizazi cha digitali akilizako zimesetiwa kwenye papucha tu!?...
 
Jibu langu na lihifadhi kwa ajili ya vizazi vijavyo, maana kulitaja tu hapa napata laana na mods watanifungia
 
Alishika ile kitu ngumu kuitaja kwa mdomo lakini ni tamu kuila!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…