Mi nangojea robo finali maana team zangu Spain na Germany! Germany ikiingia tu finali nimemuahidi habibt finali ya kivyetu vyetu! Spain majuzi wamenivuaje nguo hadharani.?Nipo shost ninaBRAZUCA tu
Mi nangojea robo finali maana team zangu Spain na Germany! Germany ikiingia tu finali nimemuahidi habibt finali ya kivyetu vyetu! Spain majuzi wamenivuaje nguo hadharani.?
Na Italy asogee manake mzee wangu Italy ikitoka mapema nitabet na nani? Maana babu hana timu ingine hio moja tu!
Hahaaaaa! Samtaimu mbona unaweza pata mdada hana njaa njaa, anakuja kwa nauli yake, mnapiga game, unajiongeza walau mwekundu anakwambia noooo! Itakusaidia wewe na hamsemi humu?
It doesnt always have to be about the money!
Kwa hiounataka kuniambia baby Matola ananicheat? Aaah wapi! Nilivomkoleza habibt wangu hadhubutuuu! Kuchitiwa kupo ila kuhamwa na kutoswa ndo kunatisha!
Mjomba ni wakiume na wale IN BETWEEN wasioleweka CUF SI CUF WALA CCM SI CCM kama Bujibuji na Gilesi makalio! Hahaaaa!
Thank you baby!wachochezi hao honey, tena wananivizia siku ambazo niko busy kusakamkwanja to make you happy ndio utawaona vitimbakwiri na vipost vyao vya uchochezi.
by the way
siamini macho yangu kinachoitokea spain tena kufungwa migoli mingimingi.
teh teh teh....ndio hivyo...Mmmmmmh! Mbona hata walionuna nao mnapiga vile vile!? Samtaimu mle mizigp coz mmeridhika nayo, sio tu coz mtu ana njaa na nyie pesa mnayo, basi ndo kuwavaa wazima wazima!
Wenyewe mwanamke akiridhika na wewe. Unampa hela anakataaa! Anakwambia weka ujenge baby!
Mzima yakheeeeeeeee!?
Wanawake wa siku hizi mko mbali... Mtu anajua hii ni kibamia, hii ni average, hii ni kubwa! Unajua mtu anapoongelea average lazima amejumlisha idadi kadhaa kisha akagawanya akajua average ni nini plus or minus standard deviation. Tuna researchers wengi sana katika jamii... Haki!