Osokoni mpya aibuka! Msomi hela utamchuna lakini si burebure!

Osokoni mpya aibuka! Msomi hela utamchuna lakini si burebure!

Hahaaaaa! Acha ubandibu! Mbona wanaume wwngine wanapewa mbuda kwa hisani tu miaka na miaka kina LAZY BILLY NA AVERAGE JOE? Mbuda ushaionja kurusha ki luku tu uko ready kukodi tax?

Ukinipa free nitakupa free ila sitaki kupigwa mzinga halafu tunaishia kuangaliana
 
dawa ni hiyo ukijichekesha tunapiga....
Mmmmmmh! Mbona hata walionuna nao mnapiga vile vile!? Samtaimu mle mizigp coz mmeridhika nayo, sio tu coz mtu ana njaa na nyie pesa mnayo, basi ndo kuwavaa wazima wazima!

Wenyewe mwanamke akiridhika na wewe. Unampa hela anakataaa! Anakwambia weka ujenge baby!
 
Ukinipa free nitakupa free ila sitaki kupigwa mzinga halafu tunaishia kuangaliana
Hahaaaaa! Samtaimu mbona unaweza pata mdada hana njaa njaa, anakuja kwa nauli yake, mnapiga game, unajiongeza walau mwekundu anakwambia noooo! Itakusaidia wewe na hamsemi humu?

It doesnt always have to be about the money!
 
Nimeamua nisi-quote post yoyote mana zote zinanivutia kufanya hivyo
 
Hahaaaaa! Samtaimu mbona unaweza pata mdada hana njaa njaa, anakuja kwa nauli yake, mnapiga game, unajiongeza walau mwekundu anakwambia noooo! Itakusaidia wewe na hamsemi humu?

It doesnt always have to be about the money!
lara 1 nimekumiss Sana. Mzima ww?
 
Last edited by a moderator:
Weweeee! Tuanzaje kuishia jf? Hii kitu VERY SERIOUS!ale kwa Matola nimejiweka serious hii jf nimeitumia kama daraja tu!

Namjua nilimiona kwenye presentation, nikawa namfatilia mtoto mtamu kama yule, nikafanya juu chini mpaka nikajua Id yake ya humu, nikawajua dada zake, afu nikatumia hili hili jamvi kumtega tega! CHEZEA!

FURSA IPO POPOTE PALE! NIMEONA FURSA AND I HAVE GRABBED IT BY THE BALLS! Mjini mipango!

All the best shost na hizi mbwembwe za penzi jipya Matola asikupige Free p ntaandamana aisee.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahhahahha we lara hebu niache mie kwa raha zangu, hahahhahahha Mungu anipe gunia la chawa au?
HHAHAHAAAAAAAAAAAA! Nimecheka mpaka machozi! Kwenye ukweli tunasema jamani! Watu wote wa humu SUPER STARS uishie pale shosti? Looooooooh! Nilikuona unachangamkia ndoa ikajisemea MMMMMH! MADOGO LAKINI MAZITO!
Tafuta mtu wa CALIBER yako banaaa! Nakuproposia watu8 sema COMMUNIST SI UTANI!
 
Last edited by a moderator:
hahahhahahaaaaaaa kumbe hao ni Wafuasi wa Mrengo wa kati eeeh
Maana mtu jinsia yake inabadilika kwa thread! Thread hii dume, ijayo jike lina makalio makubwa! Sasa kuondoa kashda tuna assume IN BETWEEN!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom