Osokoni mpya aibuka! Msomi hela utamchuna lakini si burebure!

Osokoni ana balaa mambo ya nipe nikupe na hii new couple sikua naijua oaneni basi msiishie jamii forum
Weweeee! Tuanzaje kuishia jf? Hii kitu VERY SERIOUS!ale kwa Matola nimejiweka serious hii jf nimeitumia kama daraja tu!

Namjua nilimiona kwenye presentation, nikawa namfatilia mtoto mtamu kama yule, nikafanya juu chini mpaka nikajua Id yake ya humu, nikawajua dada zake, afu nikatumia hili hili jamvi kumtega tega! CHEZEA!

FURSA IPO POPOTE PALE! NIMEONA FURSA AND I HAVE GRABBED IT BY THE BALLS! Mjini mipango!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha nilijua lazima ungeongeza pilipili kwa kachumbari :smile-big:….
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi story nzima ajenda ni kumweka matola juuuuuuuu ya habari lol haya mahaba mahabani mbona mwaka huu tutaisoma lol
 
Kudadeki...Cahl amelipa kiherehere cha Van Persie...&
 
Matola kazi kaipata aiseee kila saa i love u piko he he he ntaambiwa wivu buree
Hayaa kwa hiyo osokoni hatoi pesa mpaka mbunye kazi kwelii kweliiii

hahahahahhaha dinazarde shem wetu ndo habari ya mjini lol
 
Last edited by a moderator:
kweli hakuna vya bure na mpunga unafuatwa hotelini???
alililililililillliilili vigelegele hivyo vya lara 1 na piko wa moyo wake
 
kwi kwi kwi story nzima ajenda ni kumweka matola juuuuuuuu ya habari lol haya mahaba mahabani mbona mwaka huu tutaisoma lol
Hahaaaa! Naona umekuwa muhindi saivi YOTE HIO KUMTEGA MY PIKO WA MOYO WANGU Matola!

Afu sikusomi ujue story yote umuonee baby wangu tu hujatumwa kweli wewe? Hata kitu kimoja hujakiona umemuona Honeeeeeeey tu! Tutaonana wabaya!
 
Last edited by a moderator:
kweli hakuna vya bure na mpunga unafuatwa hotelini???
alililililililillliilili vigelegele hivyo vya lara 1 na piko wa moyo wake
Nashukuru ndugu yangu maana hawa viumbe wengine siwasomi kabisaa hawanitakii mema!
 
  • Thanks
Reactions: lin
hahahahahhaha dinazarde shem wetu ndo habari ya mjini lol
Ushemji shemeji unanyemelea kuzima taaa yatakusinda! Wanaume kibao ila mekomaa kunibana na baby wangu! Aya Mentor nakukabidhi kichuna huyu, umtulize nisimsikie anamtaja Habibt wangu!
 
Last edited by a moderator:
Heheeei ngoja nikulie timing wewe tutabanana hapohapo kwa Matola. Hahaaa
Kula hio timing shushia na pepsi ila Matola hapa kwangu kafika bei! Saivi baby wangu kachoka kazini kwake uko kuchapa codes!

Hapa nipo standby kitandani namngojea nimpunguze uchovu kwanza!
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa! Naona umekuwa muhindi saivi YOTE HIO KUMTEGA MY PIKO WA MOYO WANGU Matola!

Afu sikusomi ujue story yote umuonee baby wangu tu hujatumwa kweli wewe? Hata kitu kimoja hujakiona umemuona Honeeeeeeey tu! Tutaonana wabaya!

kwikwi kwi mi nina usingizo u know so nimesoma kuanzia pale ulipoandika out of topic hicho ndo dhamira kuu lol
 
Last edited by a moderator:
Ushemji shemeji unanyemelea kuzima taaa yatakusinda! Wanaume kibao ila mekomaa kunibana na baby wangu! Aya Mentor nakukabidhi kichuna huyu, umtulize nisimsikie anamtaja Habibt wangu!

jamani jamani usomage historia usinitafutie ubaya na dadangu wa kindakindaki mwallu ndo anamiliki moyo wa the so called Mentor
mi nina wangu humu afu nahisi umeiba nyota yetu maana hata hanimention mention hubby wangu siku hizi sijui yuko wapi now lol
 
Hahahaaaaaaa! Nimeiba nyota!
 
jamani jamani usomage historia usinitafutie ubaya na dadangu wa kindakindaki mwallu ndo anamiliki moyo wa the so called Mentor
mi nina wangu humu afu nahisi umeiba nyota yetu maana hata hanimention mention hubby wangu siku hizi sijui yuko wapi now lol

Nzuna umepotea jamani...
Nimekumiss
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom