Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,118
- 72,600
hahahahahhaha dinazarde shem wetu ndo habari ya mjini lol
Ndio khabareee ya mjinii hadi jijiii
hahahahahhaha dinazarde shem wetu ndo habari ya mjini lol
Nzuna umepotea jamani...
Nimekumiss
Ndio khabareee ya mjinii hadi jijiii
lara 1 anatoa taarifa matola wake asisogelewe.....ila sasa wa tu Ndo wataanza kutaka kujua cha zaidi alichonacho matola..lokmiss u too my dear jamani tunapelekeshwa na mapenzi ya kina matola kila uzi wanasambaziana upendo lol
Ushemji shemeji unanyemelea kuzima taaa yatakusinda! Wanaume kibao ila mekomaa kunibana na baby wangu! Aya Mentor nakukabidhi kichuna huyu, umtulize nisimsikie anamtaja Habibt wangu!
Bandugu! Wananitishaje sasa? Manake mimi mwenye mali naitumia dushe. Kwa mahesabu isiishe, naiyunza nizeeke nayo, hawa mabinti hawakawii kupeleka mbuda zao, dushe wanalitumikisha usiku kuha na cha asubuhi wanadai itadumu kweli?lara 1 anatoa taarifa matola wake asisogelewe.....ila sasa wa tu Ndo wataanza kutaka kujua cha zaidi alichonacho matola..lok
lara 1 anatoa taarifa matola wake asisogelewe.....ila sasa wa tu Ndo wataanza kutaka kujua cha zaidi alichonacho matola..lok
lara 1 matola ndo amekuosokoni nini? hii sio hadithi ya siku zote...ahahahaha umekamatika from tundu bovu!!!
aah ngoja niwaombee Aussies washinde!!!
Bandugu! Wananitishaje sasa? Manake mimi mwenye mali naitumia dushe. Kwa mahesabu isiishe, naiyunza nizeeke nayo, hawa mabinti hawakawii kupeleka mbuda zao, dushe wanalitumikisha usiku kuha na cha asubuhi wanadai itadumu kweli?
Ndo maana sitaki atii!
Mjomba ni wakiume na wale IN BETWEEN wasioleweka CUF SI CUF WALA CCM SI CCM kama Bujibuji na Gilesi makalio! Hahaaaa!
Thank you! I am humbled indeed!That is Lara1 as usual. Excellent story telling. Once you start the first line, nothing can stop you till you reach the last one. Its like having a nice dinner. And the dessert? Something about her Matola. I repeat, Matola must be such a lucky man. keep it up Lara1.