Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
nilichoelewa mimi ni kwamba hawakuona tukio zima kama lilivyokuwa ila kuna baadhi ya matukio hawakuyaona LIVE!!
 
Mwishowe watasema na picha pia za maiti ya Osama hakupelekewa!.

Nimesema kabla vita ya Osama akiwa maiti ni kali kuliko ile ya uhai wake na ndio itakayomwangusha Obama na USA yenyewe.

 
Sikia 'Mdau Wetu' habari yako ungeandika kwa space na vituo ningeipenda zaidi,ny nimekuelewa lakini. Ngoja nikuulize swali... Hivi unajua tukio la septemba 11 lilipangwa na George Bush mwenyewe na troopy lake??au hii kwako ni breaking news?? Unajua kwamba kwenye lile jengo kulikuwa na Iron Pillars 2 ambazo melting point yake ni zaid ya degree 800 Celsius nazo zilianguka/teketea??Ambazo piga ua kwa mlipuko ule wa moto hauwezi kuzalisha nyuzi joto zaidi ya hiyo hapo juu,jiulize kwanini hizo pillars ziliuungua...
 
Wadadisi na wamezaji tu wa habari.
Kuna mtu aliyeangalia ile clip ya OSAMA anajiangalia kwenye runinga na kuona kuwa lighting effect inabadilika?
Mwanzoni inaoneka kuna mwangaza wa kutosha chumbani pale lakini inapokuja screen inayoonesha picha ya Osama inakuwa very dark in the room.

Sasa kama account of what happened inabadilika kama kinyonga, hapa ni dalili ya changa la macho au?

Real time feed with black outs!!!???
 
Osama alisakwa kwa dola 3 trilioni Baada ya kifo cha Osama, imebainika kwamba msako wake umeigiza nchi hiyo tajiri duniani kwenye matumizi makubwa ya matrilioni ya dola mpaka kumpata na kumuua.Kwa mujibu wa wachambuzi wa masuala ya kiuchumi, kiasi cha dola 3 trilioni za Marekani zilitumika katika miaka 15 ya vita ya ugaidi duniani, Jarida la National limeeleza.Kiasi hicho ni sawa na Sh4,200 trilioni za Tanzania ambazo iwapo zingetumika katika bajeti ya Tanzania kwa sasa ingeweza kutumika kwa zaidi ya miaka 400 (karne nne). Takwimu hizi ni pale zinapolinganishwa na bajeti ya Tanzania mwaka 2010/11 inayofikia Sh11 trilioni, ambazo zimetumika katika matumizi mbalimbali ya serikali kwa mwaka huo wa fedha.Hii inakadiriwa kwamba iwapo bajeti ya Tanzania isingekuwa ikibadilika kulingana na ongezeko la mahitaji kila mwaka wa fedha, kiasi hicho kilichotumiwa katika vita ya dhidi ya Al Qaeda.Kigezo kilichoangaliwa na wachambuzi hao ni vita inayohusisha vikosi 150,000 vya Marekani inayokadiriwa kuchukua karibu robo ya bajeti ya ulinzi ya Marekani.Wachambuzi hao wanasema bajeti hiyo inajumuisha vita dhidi ya mtandao wa kigaidi wa Bin Laden ambayo mara nyingine imelazimisha kuongeza deni la taifa, hali ambayo imekuwa ikilalamikiwa na wananchi.
 

......wewe unafaa kweli kuendelea kutoa miadhara miskitini!!!!! ...unauwezo mkubwa wa kubuni uongo na kuupamba
 
Kweli ndugu yangu yaani chumba kilikuwa na mwanga mwanzoni then ikaja picha ya osama kwenye runinga ikawa so dark kama usiku at the same minutes mwanga unarudi tena chai hizi sasa, mie Im tired
 
Kweli ndugu yangu yaani chumba kilikuwa na mwanga mwanzoni then ikaja picha ya osama kwenye runinga ikawa so dark kama usiku at the same minutes mwanga unarudi tena chai hizi sasa, mie Im tired
Umeona eehh!!??

Halafu hata ile screen ya mwanzo inapoonesha picha ,ukiisimamisha utaona yule mzee alikuwa anaangalia program nyengine sio picha ya Osama..kabla ya kuja picha ya Osama wakati kuna mwangaza kuna kapicha cheusi hivi lakini sio Osama, ni kama catoon hivi.

Ile ni ya kuunga unga ili kutoa picha ya kulazimisha. Propaganda machine in action.
 
Mwishowe watasema na picha pia za maiti ya Osama hakupelekewa!.

Nimesema kabla vita ya Osama akiwa maiti ni kali kuliko ile ya uhai wake na ndio itakayomwangusha Obama na USA yenyewe.

Du! Dua la kuku....
 
hivi mnadhani Obama angefungaje file la Osama?

kwamba atoke tu kitandani na kutangaza kuwa osama died a long time ago wakati maelfu ya wanajeshi wa marekani wameuawa na wanaendelea kuuawa kwa madai ya kumsaka Osama na vita ya Ugaidi.

Obama hakuwa na namna nyingine ya kufunga file ni lazima uchezeshe usanii, it is only pity that ametumika (kama kweli hakumuua Osama tar 1 Mei) kuanza kufuta uchafu wa George.
 
Abbottabad, Pakistan (CNN) -- Children in the Abbottabad neighborhood where Osama bin Laden lived said they noticed oddities at bin Laden's massive compound but were oblivious that the world's most wanted terror leader was hiding in the quiet city.
Twelve-year-old Zarar Amjed Turk is one of the children who played with the eight or nine kids from bin Laden's house -- some of whom may have been the al Qaeda leader's grandchildren.
"I don't know why they had security cameras installed outside the house," Zarar said. "We used to knock the door for 10 or 20 minutes then someone used to come to talk. That was strange for us."
He said he didn't know the names of the kids he played with.
"We used to play cricket next to their house. Whenever our cricket ball went into the compound, we knocked on the door and asked for the ball. But the guy always said our ball was lost, and gave us 50 rupees (59 cents) and asked us to buy a new one."
Zarar had never heard the name Osama bin Laden before the terror leader's death last week.
 
Mwishowe watasema na picha pia za maiti ya Osama hakupelekewa!.

Nimesema kabla vita ya Osama akiwa maiti ni kali kuliko ile ya uhai wake na ndio itakayomwangusha Obama na USA yenyewe.


Hawa wameweza kuandamana kwa sababu wako USA. Warudi kwao wakaandamane waone jinsi watakavyopigwa!
 

Propaganda za CNN zimeanza
 

mimi nilizani kwenye hiyo picha obama kapachikwa, kumbe kulikuwa na kukatika katika kwa signal?

siyo ishu... Osama is dead.

kwanza obama mwenyewe hajasema kama aliona live usama akiuwawa.

ni magazeti
 
Kile kinachodaiwa kuwa ni mauaji ya mtuhumiwa wa kwanza kwenye orodha ndefu ya wale maadui wa USA ni kielelezo tosha kwamba utawala wa Rais Obama unataka kujikita zaidi kwenye maamuzi ya kuongoza nchi hio na labda kumtafutia ushindi kwenye uchaguzi ujao.

Lakini pia kwa wale wafatiliaji ni kwamba hii ni namna ya kuepuka hasira na mawazo ya jamii nzima ya marakani juu ya hali ya uchumi wa nchi hio ambayo bado haijatengemaa.

Kitendo cha Marekani kuweza kutuma makomandoo wake wakaingia nchini Pakistan bila kugundulika kimedhihirisha kwamba nchi zinazotegemea misaada kutoka Marekani hazina cha kusema juu ya uendeshaji wa nchi zao na hazina uhuru wowote na ndo kukafanyika mauaji ya kisiasa ndani ya ardhi ya Pakistan.

Kama Osama ameuawa au hajauawa hakuna ataefahamu hadi hapo picha za sura yake akiwa maiti zitakapooneshwa.

Lakini wamarekani wote wamefurahia taarifa za mauaji ya Osama na wakakesha mitaani usiku kucha wakishangilia sasa je sisi tusio wamarekani tunataka iweje?
 

Mkuu hivi mnadhani Obama angefungaje file la Osama?

kwamba atoke tu kitandani na kutangaza kuwa osama died a long time ago wakati maelfu ya wanajeshi wa marekani wameuawa na wanaendelea kuuawa kwa madai ya kumsaka Osama na vita ya Ugaidi.

Obama hakuwa na namna nyingine ya kufunga file ni lazima uchezeshe usanii, it is only pity that ametumika (kama kweli hakumuua Osama tar 1 Mei) kuanza kufuta uchafu wa George
 

.................... nimeuliza YESU alileta kitabu gani kati ya hivi viwili (BIBLE and GOSPEL or INJIL) ................kwa kukusaidia BIBLIA ni neno la KIYUNANI (GREEK) na lina maana yake, na INJIL ni la Kiebrew, hebu niweke sawa uhusiano wa Injil na Biblia !:happy:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…