Hii sasa nadhani itamaliza ubishi! Tusubiri hiyo audio message ya al marhumu Bin Laden!
Yatasemwa mengi..
Well he has got credible guy with this story, anyway jones tell as it is up to you to make your mind… if you havent read the rest here is the insider guy work experience:- PIECZENIK CANNOT BE DISMISSED as a "conspiracy theorist". He served as the Deputy Assistant Secretary of State under three different administrations, Nixon, Ford and Carter, while also working under Reagan and Bush senior, and still works as a consultant for the Department of Defense. A former US Navy Captain, Pieczenik achieved two prestigious Harry C. Solomon Awards at the Harvard Medical School as he simultaneously completed a PhD at MIT.camon guys, jones show? ur going to talk serious matter in a talk show? b serious on what u bring here mr!
Du! Kibaka aliepigwa kwa mawe anatisha ila sio hii picha.
Risasi gani ya kichwa mtu anakuwa as if amejitoboa kwa msumari!
I will tell you this you will never hear the truth from your normal news when it comes to politics and struggle….. if you think you know all because you hard from the news think again… the truth is out there so are the lies do your research and make your own mind.Alikuwa wapi kama anajua kuwa Osama alikufa toka 2001?
Sheikh Osama hajafa
Noriega aliyekamatwa na Bush Sr. alikuwa feki. Noriega original yuko Colombia
Sadam yu hai. Yule alienyongwa ni feki/double wake
Carlos the Jackal bado hajakamatwa. Wamemkamata Carlos feki
2Pac is still alive and kicking!
Elvis Presley hakufa
Obama was born outside US
Princess Dina hakufariki, yule aliepata ajali was fake!, inasemekana anaishi na mtoto wa Al Fayed ktk kisiwa kimoja cha makazi ya siri
Sept 11 ilitengenezwa
Nyerere aliuliwa na mama Maria
JK ni mnyarwanda tena toka ukoo wa Kagame
Sokoine aliuwawa na JKN
NASA hawakutua kwenye mwezi
Mandela ni freemason
Babu wa Loliondo ni mradi wa Lowassa na Rostam
Shekilango, Namfua, Kleruu, Sokoine, Kolimba, Gov. Rutihinda, Prof. Malima waliuawa kwa siri
Balali yuko hai amefanyiwa plastic surgery na anaishi Mbezi beach
Dr. Slaa ni CCM damu
JFK yuko hai na anaishi makazi ya siri South America
Hitler yuko hai anaishi Argentian ila ni mzee sana
Polycarp Pengo ni mafioso
I will tell you this you will never hear the truth from your normal news when it comes to politics and struggle .. if you think you know all because you hard from the news think again the truth is out there so are the lies do your research and make your own mind.
hao ni CIA wanatoa porojo tuu kuwaconfuse kila mtu.. ukifanya research utajua hakuna Al-qaeda hiyo ni list ya watu waliyo kuwa wanafanya kazi na CIA kipindi hicho na bado wanawapa silaha kila kukicha. wewe unazania huko jagwani hawa wanapataje silaha na vitu vingine vya kijeshi. au Al- Qaeda wana viwanda vya silaha….Mkuu we hutaki kuamini kitu gani??
Hebu kama hii news kutoka kwa alqaeda wenyewe waki-confirm kifo cha Osama
BBC News - 'Al-Qaeda statement' confirms Osama Bin Laden's death
hao ni CIA wanatoa porojo tuu kuwaconfuse kila mtu.. ukifanya research utajua hakuna Al-qaeda hiyo ni list ya watu waliyo kuwa wanafanya kazi na CIA kipindi hicho na bado wanawapa silaha kila kukicha. wewe unazania huko jagwani hawa wanapataje silaha na vitu vingine vya kijeshi. au Al- Qaeda wana viwanda vya silaha….
hao ni CIA wanatoa porojo tuu kuwaconfuse kila mtu.. ukifanya research utajua hakuna Al-qaeda hiyo ni list ya watu waliyo kuwa wanafanya kazi na CIA kipindi hicho na bado wanawapa silaha kila kukicha. wewe unazania huko jagwani hawa wanapataje silaha na vitu vingine vya kijeshi. au Al- Qaeda wana viwanda vya silaha….
Mkuu hautaki kufanya utafiti, ukifanya utafiti kama one week utaona jinsi tunavyo dangaywa na wenye nguvu dunia hii. Ngojea nikwambie hiki Obama amesema hatatoa picha za Osama na proof kwamba wamemuua, unataka bado dots ukonect… different officials have different stories of what happened. Something is telling me here all this doesn't add up Osama naweza kawa ameuliwa mwezi huu au alikufa kitambo lakini siwezi nikawan 100% manake watu wanatakiwa kuniakikishia hilo wamekataa. I have to do my own digging and join the dotsHata Yesu alipofufuka, Thomaso alisema siamini hadi nimwone....
Mkuu hautaki kufanya utafiti, ukifanya utafiti kama one week utaona jinsi tunavyo dangaywa na wenye nguvu dunia hii. Ngojea nikwambie hiki Obama amesema hatatoa picha za Osama na proof kwamba wamemuua, unataka bado dots ukonect… different officials have different stories of what happened. Something is telling me here all this doesn't add up Osama naweza kawa ameuliwa mwezi huu au alikufa kitambo lakini siwezi nikawan 100% manake watu wanatakiwa kuniakikishia hilo wamekataa. I have to do my own digging and join the dots
Kwahiyo kuuwa watu ndio mafundisho ya uislamu?
Hawa nao ni CIA??
Al-Qaeda confirms Bin Laden is dead, vows revenge - Arab News
Na huyu ni mtoto wake wa kike..
Bin Laden's daughter witnesses his death
Amini tu..do your research!!!
Watu wengi dunia hii hawajui ni nini kinaendelea, siyo kwamba ninajua. Nina maswali mengi kuliko majibu lakini my resources at my disposal and my research leads me to think America benefit wakiwa katika vita vita. hao watu wanaoandamana hapo ni matunda ya CIA hawajaelimika wengi wao. adui wao ndo anawalisha na kuwauzia silaa