Vyombo vya habari vya Marekani vimekaa mkao wa kula kusubiri speech ya ghafla kutoka kwa Pres. Obama. Kw mujibu wa CNN repoter, "we are told it is a National Security related announcement by the President." Habari yenyewe ni kwamba maiti ya Osama Bin Ladden imepatikana na ipo mikononi mwa maofisa wa Marekani.
How did he die? Are you all buying what the Americans are saying that they killed him? It is being said that he died a week ago. How can we know if he didn't die due to natural causes. He was sick for a long time anyway.
These Americans man. Anyway let's wait for more detail.