Orodha ya watu walio pona LOLIONDO HII HAPA

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Tafadhali wekeni orodha ya watu walio pona Loliondo kama ushaidi kwa dawa ya Babu.
 
hakuna hata m1. Wote ambao nmejarb kuwaulza walchopata baada ya kpata kkombe ni nafuu 2. Hakuna ambae mpk ss anawza kujtokeza na kuprove hadharan kuwa kapona ki kwel kwel.

Orodha iko wapi mbona siiöni? Au nimesoma vibaya heading? Ngoja nirudie kufungua labda.
 
Tafadhali wekeni orodha ya watu walio pona Loliondo kama ushaidi kwa dawa ya Babu.
Kwa jinsi heading ilivyo na ulichokiandika hapa inaonekana Hata wewe hujapona vizuri bado kwa hiyo tunasubiri uwe wa kwanza au kaongeze kikombe cha pili.
 
akiongeza ndo hapon tena! Aendelee kusbr hcho alchkunywa baada ya miez 6 ugonjw utatoweka! Ila awe na Imani!
Kwa jinsi heading ilivyo na ulichokiandika hapa inaonekana Hata wewe hujapona vizuri bado kwa hiyo tunasubiri uwe wa kwanza au kaongeze kikombe cha pili.
 
CCM imepona kwa dawa za babu maana mambo ya DOWANS, MAANDAMANO na nini sijui.... yamepungua.
 
hakuna hata m1. Wote ambao nmejarb kuwaulza walchopata baada ya kpata kkombe ni nafuu 2. Hakuna ambae mpk ss anawza kujtokeza na kuprove hadharan kuwa kapona ki kwel kwel.

Kweli hakuna aliyepona, temporary placebo effect na adrenaline rush. Wamepoteza hela tu.
 
Huyu atakuwa ni mwandishi wa magazeti ya kiu, ijumaa, risasi na mengine ndo nini sasa kutuwekea heading nzuri ndani hakuna kitu aaakkkkhhhh
 
Tafadhali wekeni orodha ya watu walio pona Loliondo kama ushaidi kwa dawa ya Babu.

This is one wicked sick click thread uliyotuletea

1) Heading yako haiendani na maudhui uliyo andika

2) ukiipata orodha.... alafu...... iweje.......utafanya nini.. ?!!

wasted
 
CCM imepona kwa dawa za babu maana mambo ya DOWANS, MAANDAMANO na nini sijui.... yamepungua.

Sina hakika kama imepona. Nafikiri maandamano yatakuwa makubwa zaidi baada ya siku chache zijazo itakapodhihirika wazi kuwa waliokufa baada ya kutoka Loliondo ni wengi.
 
Back
Top Bottom