Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,540
- 12,398
ungesubiri huo ushahidi ndio uweke thread!
Usichoamini ni watu kupona au? Ninachokuambia ni kwamba kuna wagonjwa wanapona amini usiamini.
ungesubiri huo ushahidi ndio uweke thread!
sa apo kuna haja gani watu kumsfia babu na kupiga vikombe? kuna haja gani yawatu kudhalilika kwa kujisaidia ovyo porini kama fungo huku wakilala pasipostahihi? je kwanini babu asije mjini alipo na huduma? Je Mungu hana huruma? Je Mungu anapenda watu wake wafe kwa magonjwa ya mlipuko?Kuna mtu donda ndugu la kansa limemkauka....imani itakuponya...si kikombe cha babu, au babu mwenyewe, ni imani yako, huyu mama alikuwa na donda ndugu amepiga kikombe na limekauka...
kumbuka wanaoenda ni wale walioona watu waliopona , mimi nimewashtukia mnataka kwenda lakini mnataka uhakika kama mtapona? Nendeni mkiwa pale mkiona wanavyopona nanyi imani menu itaongezeka
I meant kanywa kikombe na hilo donda ndugu limepona, ndio maana hata DC anasema ni IMANI...imani ni kuwa na hakika na mambo .....Mz Judith thou u aint Babu's protegee malizia abt Imanisa apo kuna haja gani watu kumsfia babu na kupiga vikombe? kuna haja gani yawatu kudhalilika kwa kujisaidia ovyo porini kama fungo huku wakilala pasipostahihi? je kwanini babu asije mjini alipo na huduma? Je Mungu hana huruma? Je Mungu anapenda watu wake wafe kwa magonjwa ya mlipuko?
Mkuu wa wilaya wa mbinga amesema tangia amekunywa kikombe hari yake inazidi kuimalika. Anasumbuliwa na kisukari, kila cku alikuwa anachoma sindano ya insulin, ila tangia apate kikombe hajachoma tena sindano:
Source tbc
na wachawi wanaoenda kumjaribu wanakuwa vichaa
Bado huyo dada kanikata maini etí kapona lakini bado hajapima ila anahc kama kapona vle. Atokee mtu aliyethibitishwa na vpmo kwamba hana Hiv, Diabates, Cancer na mengineyo ili watu tumiminike kupata kikombe cha babu huko Loliondo..!?
'If you are HIV positive... Na ukinywa dawa ya babu... Utapata instant relief... Lakini utatest positive for some days... After atleast three months ndo utatest negative... ' mwisho wa kunukuu kutoka kwa mdau aliyekua loliondo.
Na ndugu wa Rostam Aziz walipelekwa hakuna aliyepona hata mmoja. Mafisadi hawaponi
Kuna mtu donda ndugu la kansa limemkauka....imani itakuponya...si kikombe cha babu, au babu mwenyewe, ni imani yako, huyu mama alikuwa na donda ndugu amepiga kikombe na limekauka...