Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,087
- 1,913
Baada ya Rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania kusikitishwa na mauaji ya mwanafunzi huyo baada ya kupigwa risasi na polisi na kuagiza uchunguzi ufanyike mapema kwa waliohusika
Hizi lawama zitue kwa Tume ya Taifa ya uchaguzi kupitia mkurugenzi wa kinondoni,
Siku mbili kabla ya uchaguzi wa kinondoni,Wabunge wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti freeman Mbowe walifika ofisi ya mkurugenzi kudai wapewe viapo vya mawakala,na huku Esther Bulaya akidai viapo kwa upande wa ccm vimeishatolewa,hata hivyo hawakupata viapo hivyo
Siku moja kabla ya uchaguzi mbowe anaongoza waandamanaji kwenda kudai viapo.
Tuweke mbali maslahi ya vyama vyetu ni swali tu la kujiuliza na kuuliza Tume ya Taifa ya uchaguzi,kwa nini hawakutoa viapo kwa vyama vya upinzani mapema kama walivyofanya kwa chama cha mapinduzi? Nini kipo nyuma ya pazia?
Nani hasa wa kulaumiwa,mbowe na chadema,mkurugenzi kinondoni au jeshi la polisi?

Salamu. Naona tunazunguka sana.Mara huyu mara yule.
Hawa wafuatao ndio wamesababisha kifo cha mwanafunzi wa NIT tena kwa kupigwa risasi:-
1. Freeman Mbowe (Akamatwe na ahojiwe)
2. Askari aliyerusha risasi (Anyongwe kabisa)
3. Aliyesababisha maandamano yakawepo (Afungwe na afukuzwe kazi)
4. Aliyeruhusu risasi za moto zitumike (Afungwe maisha)
5. Trafiki walioshindwa kuthibiti maandamano (wafukuzwe kazi mara moja).
Shit!