Orodha ya watu /taasisi/Viongozi wanaotakiwa kulaumiwa kwa kifo cha Aquilina hii hapa

Mwifwa, mawakala wa chadema 613 walishaapishwa mbowe alikuwa anashinikiza mawakala wasiokuwa na vituo waliwemo wabunge na madiwani waapishwe kwa maana nyingine alitaka kutengeneza vituo bandia vya kura jambo alilokataliwa.

Mbowe alinuia kufanya fujo kwa kuleta walenga mishale aka wasonjo kutoka serengeti na walikuja kwa bus la falcon,

ukiona waliokuwa wakiandamana ndio haohao waliokuwa wakideki kule musoma wakati lowasa akipita, mbowe lazima awajibike kwa hili.
Sasa kama majina ya watu yanaanza na herufi ndogo, can anyone take you seriously?
 
Na bila hata kusahau chombo cha habari ambacho uhabarishaji wake kwa mtu anayeweza kusoma katikati ya mistari aligundua kabisa ulikuwa na lengo fulani.Chombo hiki kimulikwe,hakijaanza leo.
 
Back
Top Bottom