Orodha ya WATAKAOUAWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Orodha ya WATAKAOUAWA

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bujibuji, Feb 8, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,384
  Likes Received: 22,265
  Trophy Points: 280
  1. Mafisadi wote na wahujumu wa nchi
  2. Wanasiasa wanaopandikiza sera za chuki za udini
  3. Maafisa ardhi wanaouza eneo moja la ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja
  4. Manesi, wauguzi na madaktari wenye roho mbaya ambao wako tayari kutoa uhai
  wa mgonjwa kwa sababu hajawapa hela ya chai.
  5. Watendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani wanaouza mitihani na kuivujisha.
  6. Polisi wanaosingizia watu na kuwabambikiza makosa mbalimbali ya uongo.
  7. Endeleza orodha hii
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  nimeipenda sana hiii....
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  8.POLISI TRAFIKI WOTE 9.mahakimu wote
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  10. Majambazi wote na vibaka wote
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,903
  Trophy Points: 280
  10. Viongozi wanaowakingia mafisadi kifua.
   
 6. F

  Fahari omarsaid Member

  #6
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chenge lowasa rostam manji pia watauwawa
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Feb 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  11.wanaochit wapenz wao
   
 8. M

  Msindima JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wale wote wanaosingizia wenzao kuwa ni wadini.
   
 9. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wanasiasa na wabunge wote wanaowadanganya wananchi kwa kutoa ahadi ahadi ambazo wanajua kabisa kwamba hawawezi kuzitekeleza
   
 10. M

  Mantisa Senior Member

  #10
  Feb 8, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Walomuua Chacha Wangwe
   
 11. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  12.vyombo vya habar vnavyokiuka utangazaji yan vnachochea mabaya
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tusiwaze namna ya kuuwana!tunapaswa kutafuta mbinu ya kutatua matatizo yetu,na kuwahukumu wakosefu kwa kutumia sheria zetu zilizopo!!
   
 13. jcb

  jcb JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wale wote wanao kula uroda na ma house girl / house boy wao!!!!!!!!!!
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,384
  Likes Received: 22,265
  Trophy Points: 280
  Hizo mbinu mnazotaka kuzitumia kutatua matatizo hazitafanya kazi kwa kuwa hao mnaotaka kuwawajibisha ndio wameshika mpini nanyi mmeshika makali
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,384
  Likes Received: 22,265
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe sio memba wa infidelity party?
   
 16. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Wachawi wote na viongozi wa dini waotumia nguvu za giza
   
 17. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Wanaokipigia debe CCM woteeeeeeeeeeeeeee
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  siungi mkono kuchukua mamlaka ya kuwa mungu na kutoa roho za watu... tusiombee tusiyoyajua

  what we need is to take CCM au poor government out.. sio kuuana... basi kama ni hivyo tuanze na kuua mazalia ya mbu
   
 19. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mbona wataisha tutabaki watoto tu
   
 20. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Kweli kabisa...
  Mtaua hadi ndugu na jamaa zenu au hata nyie wengine mliopo hapa.HAKUNA ATAKAYEBAKI!

  Siafiki mauaji....nyinyi hamna mamlaka ya kutoa rohi za watu..mmekuwa ziraili tangu lini?
  MSHINDWE NA MLEGEE!
  tUMIENI NGUVU HALALI-
   
Loading...