Orodha ya wapambe wa Rais(ADCs)

Orodha ya wapambe wa Rais(ADCs)

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Hivi sasa mpambe wa rais (ADC) ni MBARAKA MKEREMI. Naomba kujua orodha ya ma ADC waliopita na walipo sasa.

Je, ni wanajeshi kwenye sifa zipi na vyeo gani ndio hufikiriwa kupewa hiyo nafasi.

Regards...
 
Leo Kuna mtu Kala suti for the first time!!
 
Inakuhusu nini ? Au unataka habari zao ufanye nini au mna mpango gani mnapanga baada ya kupata habari zote hizo na kuzipeleka huko mnakozipeleka ? ?
UBETI WASHAIRI
Nchi yetu ni imara, wala hamfanikiwi
Ni kulia kila mara,mnalotaka haliwi
Mkifanya masihara,mtageuka viziwi
Siraaj ng'aza siraat tuondokwe na ghururi
 
Majibu Kama haya unapaswa kuyapeleka Facebook.

GT unaulizwa jambo dogo unaandika uharo uharo tu.
Sasa kujua ADCs kuna tatizo gani?
Kama kumuona ADC ingekua ni mtu wa Siri mbona tunamuona kila siku kwenye TV?

Orodha ya wakuu wa usalama wa taifa inafahamika na hakuna tatizo sembuse huyo mpambe wa rais?

Kama hujui ungetulia tu
 
Asikuumize kichwa.Ni aina ya watu hata akijamba anasingizia watoto.Haamini na hataki kuelewa kuwa kujamba ni sifa/tabia ya kiumbe hai.

Wekeni hiyo orodha please. Nani alikua ADC wa mwalimu kwa mfano....
 
Majibu Kama haya unapaswa kuyapeleka Facebook.

GT unaulizwa jambo dogo unaandika uharo uharo tu.
Sasa kujua ADCs kuna tatizo gani?
Kama kumuona ADC ingekua ni mtu wa Siri mbona tunamuona kila siku kwenye TV?

Orodha ya wakuu wa usalama wa taifa inafahamika na hakuna tatizo sembuse huyo mpambe wa rais?

Kama hujui ungetulia tu
Na bado mtapandisha hasira mpaka 2025 sijui mtakuwa na hali gani.
 
Unataka kufahamu orodha ya wale watumwa wa rais, idadi ya mbaka sasa ni wa 4 tu.
 
Hivi sasa mpambe wa rais (ADC) ni MBARAKA MKEREMI. Naomba kujua orodha ya ma ADC waliopita na walipo sasa.

Je, ni wanajeshi kwenye sifa zipi na vyeo gani ndio hufikiriwa kupewa hiyo nafasi.

Regards...
Halafu ukishajua itakusaidia nini labda
 
Back
Top Bottom