Orodha ya wapambe wa Rais(ADCs)

Orodha ya wapambe wa Rais(ADCs)

Kama kuna mtu mwenye uelewa wa hilo mwache aihabarishe jamii .
Ngoja niwataje haraka haraka nnaowakumbuka
Wakati wa Nyerere ukiachana na yule ADC wa kwanza kutoka TPSS( Wakati huo TISS na Polisi ziko pamoja)

Kuna Lt. Col Adam Mwandu Makwaia(Alikua ADC msaidizi 1978-81) na akawa full ADC 1981-87, Rais Mwinyi alianza na Makwai baadae akafuatia Lt. Col Mussa Mrisho Mtengwa halafu Mkapa akaja na Brig Gen(Cheo Cha kustaafia) Augustine Gailanga halafu Kikwete alianza na Brig Kimario akaja Mkeremy akatumikia na JPM pia akabadilishwa Anapewa Col. Bernard Mlugwa mpaka juzi alivoteuliwa Col Nyamburi Mashauri
 
Back
Top Bottom