Orodha ya wadaiwa sugu HESLB yaibua mapya

Orodha ya wadaiwa sugu HESLB yaibua mapya

Jamaa hawa hawana kumbukumbu wanafanya kazi kwa kubahatisha! Hawajui nani wanamdai na nani hadaiwi! Poor them!
 
kaka yangu kasoma MD private India cha ajabu naona jina lake limo sasa nashangaa walikuwa wanamlipia huko India au wamacopy majina NECTA na kupest HELSB?
 
Rais alisema deni ni trillioni tatu, nyie mnasema bil 2.7 jingine lilipwa lini?

Labda 2.7 bil ni wadaiwa sugu halafu sehemu nyingine ya trillion tatu ni wadaiwa wasio sugu.
 
kama umeandikwa kimakosa, unawa sue kwa kukudhalilisha lol
 
Back
Top Bottom