Orodha ya Wabunge waliosaini kutokuwa na imani na PM

Jana kuna taarifa zilizo kuwa zikisema wabunge wa CCM walio sign ni wa 5 ambao ni;
1.Deo Philikunjombe =Ludewa
2.Ally Keissy Mohamed=Nkasi kaskazini
3.Alhoxard Lugola=Bunda
4Murtaza Ally Mangungu na
Mbunge mmoja wa viti maalum kutoka kanda ya ziwa.
Wapi hawa wanaojifanya wapambanaji,kumbe ni danganya toto,tunawasubiri kwenye"debe''
1.Anna Kilango
2.Lembeli
3.Sendeka
4.Hamis Kingangwala
Pia kuna hawa wanaochonga sana
1.January Makamba
2.Erasto Zambi
3.Azzani
 
Orodha ya wabunge waliosaini:

  1. 2. Rashid Ali Abdallah – CUF
  2. 3. Chiku Aflah Abwao- Chadema
  3. 4. Saluim Ali Mbarouk – CUF
  4. 5. Salum Khalfam Barwany – CUF
  5. 6. Deo Haule Filikuchombe- CCM
  6. 7. Pauline Philipo Gekul- Chadema
  7. 8. Asaa Othman Hamad- CUF
  8. 9. Prof.Kuliyokela Kahigi- Chadema
  9. 10. Naomi Mwakyoma Kaihula – Chadema
  10. 11. Sylvester Kasulumbayi- Chadema
  11. 12. Raya Ibrahim Khamis - Chadema
  12. 13. Mkiwa Hamad Kiwanga - CUF
  13. 14. Susan Limbweni Kiwanga- Chadema
  14. 15. Grace Sindato Kiwelu –Chadema
  15. 16. Kombo Khamis Kombo – cuf
  16. 17. Joshua Samwel Nassari – Chadema
  17. 18. Tundu Antiphas Lissu- Chadema
  18. 19. Aphaxar Kangi Lugola- CCM
  19. 20. Susan Anselim Lymo- Chadema
  20. 21. Moses Machali – NCCR Mageuzi
  21. 22. John Shibuda Magalle – Chadema
  22. 23. Faki Haji Makame- CUF
  23. 24. Esther Nicholas Matiko- Chadema
  24. 25. Joseph Osmund Mbilinyi- Chadema
  25. 26. Freman Aikaeli Mbowe- Chadema
  26. 27. Kurudhum Jumanne Mchuchuli – Chadema
  27. 28. Halima James Mdee-Chadema
  28. 29. John John Mnyika- Chadema
  29. 30. Augustino Lyatonga Mrema- TLP
  30. 31. Maryam Salum Msabaha- Chadema
  31. 32. Peter Msingwa-chadema
  32. 33. Christowaja Gerson Mtinda- Chadema
  33. 34. Philipa Geofrey Mturano- Chadema
  34. 35. Christina Lissu Mughwai- Chadema
  35. 36. Joyce John Mukya – Chadema
  36. 37. Mchungaji Israel Yohane Natse – Chadema
  37. 38. Philemon Ndesamburo- Chadema
  38. 39. Ahmed Juma Ngwali- CUF
  39. 40. Vincent Josephat Nyerere- Chadema
  40. 41. Rashid Ali Omar- CUF
  41. 42. Meshack Jeremiah Opulukwa- Chadema
  42. 43. Lucy Philemon Owenya- Chadema
  43. 44. Rachel Mashishanga- Chadema
  44. 45. Mhonga Said Ruhwanya – Chadema
  45. 46. Conchesta Rwamlaza – Chadema
  46. 47. Moza Abedi Saidy- CUF
  47. 48. Joseph Roman Selasini – Chadema
  48. 49. David Ernest Silinde- Chadema
  49. 50. Rose Kamili Sukum - Chadema
  50. 51. Cecilia Daniel Paresso- chadema
  51. 52. Kabwe Zuberi Zitto- Kigoma Kaskazini
  52. 53. Magdalena Sakaya – CUF
  53. 54. Rebecca Mngodo- CUF
  54. 55. Sabreena Sungura -Chadema
  55. 56. Hamad Rashid Mohammed- CUF
  56. 57. Rukia Kassim Ahmed- CUF
  57. 58. Mustapha Boay Akoonay -Chadema
  58. 59. Abdalla Haji Ali -CUF
  59. 60. Khatibu Said Ali -CUF
  60. 61. Hamad Ali Hamad -CUF
  61. 62. Riziki Omar Juma -CUF
  62. 63. Haji Khatibu Kai -CUF
  63. 64. Anna Marystella John Malack -Chadema
  64. 65. Hamad Rashid Mohamed -CUF
  65. 66. Rajab Mbarouk Mohamed -CUF
  66. 67. Thuwayba Idrissa Muhamed -CUF
  67. 68. Masoud Abdallah Salum -CUF
  68. 69. Muhamad Ibrahim Sanya -CUF
  69. 70. Ali Khamis Seif -CUF
  70. 71. Haroub Muhammed Shamis -CUF
  71. 72. Amina Amour Nassoro -CUF
Wapi Lowasa bana?si anadai kuwa na uchungu na maisha ya vijana,sasa aonyesha mfano wa kuipinga serikali,hayo ndio maamuzi magumu bana,
 
Wapi hawa wanaojifanya wapambanaji,kumbe ni danganya toto,tunawasubiri kwenye"debe''
1.Anna Kilango
2.Lembeli
3.Sendeka
4.Hamis Kingangwala
Pia kuna hawa wanaochonga sana
1.January Makamba
2.Erasto Zambi
3.Azzani

umesahau na S.Sitta hawa wote ni kelele hawana lolote Kilango cjamcikia kabisa cjui hakuwepo?
 
Unakula mboga za majani kweli wewe? Au B A N G E ?!

Hapana hali bhange ni kweli 56 na 65 kwa namba za ndani ni majina ya mtu mmoja, lakini kwa namba za nje ni majina mawili tofauti msipigane ndugu zangu tafadhali mechi bado haijaanza rasmi.
 
kwa hiyo mr. Scales aka magamba wenyewe wameshagoma kusaini?
hapa criticism ya Erasto Zambi haina mshiko kama kweli alizuia saini kujustfy matamshi yake aliyotoa bungeni. Ccm is full cowards wanamwogopa kikwete kuliko wanavyomwogopa MUNGU
 
Back
Top Bottom