Orodha ya vitabu nilivyosoma 2018

Hardcopy au softcopy, Kama ni Hardcopy wapi vinapatikana?
 
Kwenye orodha sioni vitabu vya kijana wetu Yeriko Nyerere!
Nilipoenda bookshop walisema Kitabu chake kimeisha ktk akiba yao, nami sikutaka kuhangaika kutokana na muda, bookshop yangu ni moja tuu pale Posta karibu na askari monument
 
Mmh hongera sana but it seems you are not employed bcz you have plenty of time to read 23 books and analyse them or you have an extra ordinary talent..

Rais Francois Mitterand hadi saa ya kufa kwake alikufa anaandika vitabu. Julius Nyerere aliandika vitabu akiwa na kazin nyingi kuliko mtanzania yeyote.

Usidhani kila mtanzania ni mbumbumbu kama wewe. Huko kwenye ajira yako kazi yako ni kutumwatumwa tu na bosi wako huna la maana utakalowezesha kampuni yako au taasisi yako kusonga mbele maana huna maarifa ambayo wenzako wanayapata kutoka kwenye vitabu.

Pole sana kwa umbumbu wako.

Cc:
Nanyaro Ephata, Azizi Mussa
 
Mkuu kama una soft copy upload hapa kitabu namba 2, 4, 6, 17,18 na 23

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza ukali wa maneno bro, kwani amekukosea nini? Kusoma vitabu yataka moyo, usimlaumu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu guseni hapa
Vatican itatawala dunia
Internet.org
 
Kitabu cha dini husomagi? Au we mpagani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…