ORODHA ya vijana wa Rostam na Kikwete

ORODHA ya vijana wa Rostam na Kikwete

1. January Makamba kkata ni geresha
2. Nape Nauye
3.Mwiguru mchemba
4.Rizi 1.
5
6.
Ongezea na wewe
Bashe

Ila Rostam anatafuna hii nchi kisawa sawa, alivyouza mwananchi media, alienda kufungua pale sinza kijiweni na Bashe alikuwa mkurugenzi.
 
All in all wanasema Kikwete uwa ni mtu poa sana ukikutana una shida ya jambo lako ujue limetatuliwa nafikiri ndo kimemfanya kua na watu wengi ukisandia watu lazima utazungukwa na watu wengi
Sio kila mtu, lazima awe na maslahi na wewe kama ajakutumia huo muda basi baadae, kuna jamaa jina kapuni katumika sana
 
Back
Top Bottom