Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,684
- 19,226
Wafunge tu tubaki na Jf na tovuti ya Ikulu, tuwe tuna enjoy press releas za Msingwa wanaotumbuliwa, who care
Afadhali ulivyodavua mana nilikuwa hata sielewi.Acha woga jombaa simu za nokia series 40 ni za zamani na hata hizo zenye android 2.3 pia, unaweza zitafuta dukani na usizipate
Na hii makala ni mda mrefu kidogo sema mleta mada atakuwa amekutana nayo karibuni
Ukiacha nokia za series 40 na hizo za android 2.3 simu zingine zilizoathirika ni blackberry zote za zamani kasoro zinazotumia android OS, na windows 7 zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Facebook Inc.Yeah nalijua hilo ..whatsapp fb ig ni kampuni za mack
mtandao bora duniani ni telegram ... hizo whatsap nishfutaa miaka mitatu sasa siitumiiHawa jamaa mbona wanataka kuleta shida sasa " .... huo ujinga wao hata wasithubutu kuupa ruksa " Maana utazifanya kampuni nyingine zinazo toa huduma ya kimawasiliano zenye mfanano na whatsapp ziweze kunyanyuka haraka na kuliteka soko "
Hapo sasa ndio napoiona nafasi ya telegram " na imo kuweza ku take over "kwa sababu watu wengi ambao simu zao zitakosa hiyo huduma ya whatsapp wataamua kuhamia katika makampuni mengine yanayo toa huduma hiyo "
Hii inaweza kusababisha whatsapp kuweza kupoteza ushawishi mkubwa wa kibiashara ambao wanao sasa katika jamii kwa sababu kampuni hizo (telegram 'imo zitakuwa zinatoa huduma " katika simu mbali mbali pasipo kuweka masharti kama hayo ambayo " yanatizamiwa kuwekwa na whatsapp " kwa mantiki hii ni kwamba wataweza kutoa huduma itakayo wafikia watu wengi zaidi na wao wata weza kuvuna mapato ya kutosha " ambayo yanaweza kupelekea " kulishusha soko la whatsapp kabisa "
My yake haya ni maoni yangu binafsi na maneno yangu sio sheria "
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inategemea, kuna zipo OG na FAKE.Vipi kuhusu kwa sisi watumiaji wa Techno?
MGC