Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 445
- 754
Whatsapp Bado wanamalizia kufanyia marekebisho kadhaa kuweza kuachia feature mpya ya ๐จ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kwa watumiaji wa mtandao wa WhatsApp ulimwenguni kote.
Kupitia repoti yaWabetainfo wamesema watumiaji wa Whatsapp wataweza kuchagua ๐จ๐๐ฒ๐ฟ๐ป๐ฎ๐บ๐ฒ kuweza kutumia kwenye Whatsapp ambapo utakua na uwezo wa kumtafuta mtu kwenye mtandao wa Whatsapp kupitia username.
Utakua sio lazima tena kuwa na namba ya simu Bali kupitia username utakua na uwezo wa kumtafuta mtu kwenye Whatsapp na kuanza kuanzisha mazungumzo. Utaweza kutumia username,Name au Namba ya simu.
Whatsapp wamesema sio lazima tena watu kutoa namba zao za simu kwa ajili ya kuchati kwenye huo mtandao wataweza kutumia username utaweza share username yako kwaiyo itakua rahisi watu kukutafuta kwenye mtandao wa Whatsapp.
Utaikuta Sehemu ya setting Kisha profile alafu utaweza kuchagua username yako kwa ajili ya kutumia kwenye Whatsapp.