Orodha ya marais 10 wavivu afrika

Orodha ya marais 10 wavivu afrika

Status
Not open for further replies.
RAIS wa chama cha madaktari , RAIS wa chama cha waalimu, RAIS wa madereva wa bodaboda, HAYA WENGINE JAZIA MWENYEWE ukamilishe riport we sharobaro
 
mkuu mimi binafsi namjua mmoja tu na huyo mmoja ni kwa saabu yu mtanzania mwenzangu na ni rais wangu kwa heshima na kwa kumpenda rais wangu namuuite Mh.Rais.Jakaya M.Kikwete ni MVIVU.
reason
1.lowassa alipojiuzuru, ktk hotuba yke alidai ameonewa(hakuulizwa)we kama rais haikuwa busara kupokea barua ya lowassa na kuhafiki uamuzi aliochukua.kuanguka kwa chaguo lako lowassa kumepeleke kuanguka kwa kila waziri wako na uombe umaliza salama .awamu moja mawaziri mia mbili huu ni umbulula

Kwahiyo unasemaje?

Body without head
 
Ingia Mtandao wa MO Ibrahim uwa anatoa credit kwa kila mwaka utaona huko,Inaanza A Mpaka F, alafu inakuaja ICU na Morgue
 
futa povu deadfly.imebaki miezi tu.ccm kitabaki historia,chama cha mashetani,majangili na wabakaji.shame on u.
mainzimafu

Matazamo wako uko wrong! Pole sana, hicho chama wameshaanza kufukuzana na kuumizana mapema hivi halafu kipewe nchi? A died man can't drive a car! Chama hicho kikichukua nchi nizikeni nkiwa hai! Sindano inauma lakini ndiyo dawa inaingia.

Body without head
 
RAIS wa chama cha madaktari , RAIS wa chama cha waalimu, RAIS wa madereva wa bodaboda, HAYA WENGINE JAZIA MWENYEWE ukamilishe riport we sharobaro

Hahaha umenikumbusha yule jamaa aliyekuwa kinara wa ule mgomo uliosababisha vifo vya watz zaidi ya 200 mpaka alipong'olewa meno kwa plaiz ya fundi baskeli ndio akatulia.
 
Tafuta software ya kuivaluate Maraisi kama ni wavivu au laa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom