MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,069
- 713
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
Rais wa 1. TFF, 2. RAIS WA BFT, 3. RAIS WA UDSM
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
Yaan we -------- umenifelisha aisee..!!
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
kaka naona sasa unaanza kuwatafuta watu bila sababu za msingi!!!Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
1. KIng Mswati III (Swaziland)
2. Jakaya Kikwete (Tanzania)
3. Blaise Compaore (Burkinafaso)
4. Paul Biya (Cameroun)
5. Dennis Sessou Ngueso (Congo Brazaville)
6. Faure Eyadema (Togo)
7. Ali Bongo Ondimba (Gabon)
8. Teodoro Obiang Nguema (Equaorial Guinea)
9. Joseph Kabila (Democratic Republic of Congo)
10. Idriss Derby (Chad)
Pia wanaongoza kwa matanuzi, kulala mahoteli ya gharama, kuwa na nyumba ndogo, kunufaisha familia zao kwa kuzipa madili na mamlaka
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
Matazamo wako uko wrong! Pole sana, hicho chama wameshaanza kufukuzana na kuumizana mapema hivi halafu kipewe nchi? A died man can't drive a car! Chama hicho kikichukua nchi nizikeni nkiwa hai! Sindano inauma lakini ndiyo dawa inaingia.
Body without head
Hizi siasa hizi. Uvivu wa rais kisa kakubali waziri mkuu ajiuzulu? Imefika wakati sasa serikali iweke mipaka ktk matumizi ya jina la mh. Rais.
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
Watu wengine wachokonozi sana aisee... Ukishajua then what?
Hahaha! Jamani ajabuSasa anaongoza nini kama shida/tatizo halijui?