FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
Wana JF.., nilikuwa nahitaji kufahamu orodha ya ma-rais 10 wanaoongoza kwa uvivu afrika.., masaada wa haraka kwani nahitaji hizi data kuandaa report..
Nyi mmechelewa kufungua shule asee.. wenzenu washaanza kusoma!
Kama mi navuta basi wewe utakuwa unapuliza.., wewe na huyo mwenzako.., si bure..Siunajua form four kashazoea shule huyo,anavuta kidogo..
Mmh! Mungu aijalie tanzania, iepukane na watendaji vipofu wanaohangaikia matumbo yao na wanao. Atupe viongozi makini na si wachapa usingi, wezi, mafisadi, walafi, wahujumu, wasiopenda maendeleo. Inauma sana kuona wilaya karibu asilia 80 hazina barabara ya rami japo moja hii ni kwasababu tunaongozwa na vipofu, watu walio lewa madaraka. Kitu kingine ni swala ofisi za wakuu wa wilaya: Toka kipindi cha ukoloni hadi leo makao makuu ya wilaya ya mbeya (mbeya vijijini) yapo jijini mbeya, mtwara vijijini yapo manispaa ya mtwara mikindani na wilaya nyinginezo katika mikoa, swali; hivi kwe halmashauri zimeshindwa kujenga ofisi za halmashauri zao mpaka wawe kwa wenzao? Mimi naona hapana ila wanaogopa lawama za wananchi wao, kupigwa, kurahisha uibaji wa fedha za wananchi na kutufanya tuwe watumwa wao kwani haiwezekani raisi watanzania anayewaongoza watanzania ofisi yake ya kufanyia kazi ijengwe uingereza na aishi huko. Huu ni wizi na kuwakimbia wananchi wanaowaongoza, bora kusiwe na mkuu wa wilaya maeneo hayo.
Rais wa wasafii
Bwana Lowassa huachi haya mambo?mkuu mimi binafsi namjua mmoja tu na huyo mmoja ni kwa saabu yu mtanzania mwenzangu na ni rais wangu kwa heshima na kwa kumpenda rais wangu namuuite Mh.Rais.Jakaya M.Kikwete ni MVIVU.
reason
1.lowassa alipojiuzuru, ktk hotuba yke alidai ameonewa(hakuulizwa)we kama rais haikuwa busara kupokea barua ya lowassa na kuhafiki uamuzi aliochukua.kuanguka kwa chaguo lako lowassa kumepeleke kuanguka kwa kila waziri wako na uombe umaliza salama .awamu moja mawaziri mia mbili huu ni umbulula
mkuu mimi binafsi namjua mmoja tu na huyo mmoja ni kwa saabu yu mtanzania mwenzangu na ni rais wangu kwa heshima na kwa kumpenda rais wangu namuuite Mh.Rais.Jakaya M.Kikwete ni MVIVU.