Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,275
- 18,352
Wakuu kuna jambo ukilisikia au ukiambiwa unahisi unataka kutapeliwa, pia maneno mengine ukiambiwa unajisikia uoga fulani moyoni.
Angalia orodha yangu hapa kisha weka maneno yanayokupa uoga/kuhisi unatapeliwa.
1. Muuza bidhaa akisema yupo Kariakoo aisee nahisi muda wowote naibiwa
2. Mfanyabiashara akisema "na mikoani tunatuma ukilipa atleast nusu ya bei ya bidhaa".
3.Mwana jf akisema bei ya bidhaa nimfuate inbox
4.Earn monye online
5. Dawa za nguvu za kiume
6.Pete ya bahati
7.Pesa za majini
8.Kumfanya mpenzi wako akupende
Aisee waganga mnazingua kinyama
cc:Brother Mshana Jr.
9.Kuunganisha vifurushi vya Azam na DSTv kwenye dishi la Star Times
Ongeza maneno yako...