Orodha ya maneno ambayo ukiambiwa unahisi utapeli au yanakupa uoga moyoni

"Tafadhali nipigie" kutoka kwa ninayemfukuzia huku bado sijampata.

"Ingekuwa nimelipwa mshahara wangu ningesolve mwenyewe tu"Kauli hii ikitoka kwa mzaa chema...inatakiwa ujiongeze.

"Baby kuna gauni na hand bag nimeviona Kariakoo vinaendana sana na hizi sandals zangu." Kauli hii inatoka kwa demu ambaye urafiki wenu una umri chini ya saa 24!

"Baby nikwambie kitu?"
 
Fursa ya hela kwa wasio na kazi..

Ukimaliza chuo uhakika wa ajira ni mkubwa sana

Karibu fursa ya kijasiriamali watu wa Trevo na Forever Living
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom