Kuna habari ambazo si nzuri nimezipata kuhusu rafu zilizofanywa huko majimboni ambazo naziona kwenye haya majina tajwa hapa. Kuna watu walishindwa kura za maoni kabisa kabisa. Ikaonekana wana influence na kamati kuu wakaenda Dar kulobby na kujionyesha onyesha na kugawa milungula na majina yao kuteuliwa kwenye majimbo kuwa wagombea watakaosimama kuomba kura Oktoba 25.Orodha hii ya walioteuliwa kugombea ndiyo sahihi.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
ORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CHADEMA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE
Mkoa Jimbo CHAMA MGOMBEA ALIYETEULIWA
Mara
1. Rorya CDM STEVEN J OWAWA
2. Tarime Mjini CDM ESTHER N MATIKO
3. Tarime Vijijini CDM JOHN HECHE
4. Musoma Vijijini CDM ZAKARIA MBULA CHIRAGWILE
5. Butiama CDM YUSUPH R KAZI
6. Bunda Mjini CDM ESTHER BULAYA
7. Mwibara CDM HARUN D CHIRIKO
8. Musoma Mjini CDM VINCENT J NYERERE
9. Bunda Vijijini CDM SULEIMAN DAUDI
Simiyu
1. Bariadi CDM GODWIN SIMBA
2. Maswa Magharibi CDM ABDALA PATEL
3. Maswa Mashariki CDM SYLVESTER KASULUMBAYI
4. Kisesa CDM MASANJA MANANI
5. Meatu CDM MESHACK OPULUKWA
6. Itilima CDM MARTINE MAGILE
Shinyanga
1. Msalala CDM PAULO MALAIKA
2. Kahama Mjini CDM JAMES LEMBELI
3. Kahama Vijijini (Ushetu) CDM SIMON BUKAKIYE ISAYA
4. Shinyanga Mjini CDM PATROAS PASCHAL K
5. Kishapu CDM FRED T MPENDAZOE
Mwanza
1. Ukerewe CDM JOSEPH MKUNDI
2. Magu CDM KALWINZI NGONGOSEKE
3. Nyamagana CDM EZEKIA D. WENJE
4. Buchosa CDM MARTINE KASWAHILI
5. Sengerema CDM HAMIS TABASAMU
6. Ilemela CDM HIGHNESS KIWIA
7. Misungwi CDM LEONIDAS KONDELA
Geita
1. Bukombe CDM PROF. KULIKOYELA KAHIGI
2. Busanda CDM ALPHONCE C MAWAZO
3. Nyang'wale CDM GEORGE MABULA
4. Chato CDM DR. BENEDICT LUKANIMA
5. Mbogwe CDM NICODEMUS H MAGANGA
Kagera
1 Karagwe CDM PRINCE RWAZO
2 Kyerwa CDM BENEDICT MTUNGIREHI
3 Bukoba Mjini CDM WILFRED LWAKATARE
4 Muleba Kaskazini CDM ANSBERT NGURUMO
5 Muleba Kusini CDM ALISTIDES KASHASILA
6 Biharamulo CDM DR. ANTHONY MBASSA
Mbeya
1. Lupa CDM NJELU KASAKA
2. Songwe CDM MPOKI MWANKUSYE
3. Mbeya Mjini CDM JOSEPH MBILINYI
4. Kyela CDM ABRAHAM H MWANYAMAKI
5. Rungwe CDM JOHN D MWAMBIGIJA
6. Busokelo CDM BONIPHACE A MWAMUKUSI
7. Mbozi CDM PASCHAL HAONGA
8. Momba CDM DAVID E SILINDE
9. MBARALI
10. Mbeya Vijijini CDM ADAM NZELA
11. Tunduma CDM FRANK MWAKAJOKA
12. Vwawa CDM FANUEL MKISI
Iringa
1 Ismani CDM PATRICK OLE SOSOPI
2 Kalenga CDM MUSSA L MDEDE
3 Mufindi Kaskazini CDM JUMANNE K MASONDA
4 Iringa Mjini CDM PETER MSIGWA
5 Kilolo CDM BRIAN KIKOTI
6 Mafinga Mjini CDM WILLE MUNGAI
Njombe
1 Njombe Kusini CDM EMMANUEL MASONGA
2 Lupembe (Njombe Kask) CDM EDWIN E SWALE
3 Wangingombe CDM DISMAS A LUHWAGO
4 Makete CDM JACKSON T MOGELA
5 Ludewa CDM ATHROMEO MKINGA
6 Makambako CDM ORAPH MHEMA
Rukwa
1 Nkasi Kusini CDM ALFRED DANIEL SOTOKA
2 Kwela CDM DANIEL NAFTAL NGOGO
3 Nkasi Kaskazini CDM KESSY SOUD
4 Sumbawanga Mjini CDM SADRICK MALILA
5 Kalambo CDM VICTOR MATENI
Tanga
1 Kilindi CDM JERADI K MREMA
2 Muheza CDM ERNEST MSINGWA
4 Korogwe CDM AMANI H KIMEA
5 Korogwe Vijijini CDM EMMANUEL KIMEA
Kilimanjaro
1. Rombo CDM JOSEPH SELASIN
2. Same Magharibi CDM CHRISTOPHER S MBAJO
3. Same Mashariki CDM NAGENJWA KABOYOKA
4. Moshi Mjini CDM JAFARY P MICHAEL
5. Hai CDM FREEMAN A MBOWE
6. Siha CDM DR. GODWIN MOLLEL
Arusha
1 Arumeru Mashariki CDM JOSHUA NASSARI
2 Arumeru Magharibi CDM GIBSON MESIYEKI
3 Arusha Mjini CDM GODBLESS LEMA
4 Longido CDM ONESMO OLE NANGOLE
5 Monduli CDM JULIUS KALANGA
6 Karatu CDM WILLE QAMBALO
7 Ngorongoro CDM ELIAS NGORISA
Manyara
1 Simanjiro CDM JAMES KINYASI OLE MILLYA
2 Mbulu Vijijini CDM MIKEL PETRO AWEDA
3 Hanang CDM MAGOMA RASHID DERICK
4 Babati Mjini CDM PAULINE P GEKUL
5 Babati Vijijini CDM LAURENT SURUMBU TARRA
6 Kiteto CDM KIDAWA ATHUMANI IYAVU
7 Mbulu Mjini CDM PAULO HERMAN SULLE
Dar es Salaam
1. Ubungo CDM SAED KUBENEA
2. Kawe CDM HALIMA JAMES MDEE
3. Ukonga CDM MWITA MWIKWABE WAITARA
4. Ilala CDM MUSLIM HASSANALI HEIDERALI
5. Kibamba CDM JOHN JOHN MNYIKA
Pwani
1 Chalinze CDM MATHAYO TM. TORONGEY
2 Kibaha Mjini CDM MICHAEL PAUL MTALY
3 Kibaha Vijijini CDM EDITHA BABBEIYA
Morogoro
1. Mikumi CDM JOSEPH HAULE
2. Morogoro Kusini CDM DAVID LUKAGINGIRA
3. Kilombero CDM PETER E LIJUALIKALI
4. Mlimba CDM SUZAN L. KIWANGA
5. Mvomero CDM OSWALD MLAY
6. Ulanga Magharibi CDM ALPHONCE MBASSA
7. Ulanga Mashariki CDM PANCRAS KONGOLI
8. Morogoro Mjini CDM MARCOSSY ALBANIE
Dodoma
1. Kongwa CDM ESAU NGOMBEI
2. Dodoma Mjini CDM SINGO BENSON KIGAILA
3. Bahi CDM MATHIAS LYAMUNDA
4. Chilonwa CDM JOHN CHOGONGO
Singida
1 Iramba Magharibi CDM JESCA KISHOA
2 Iramba Mash(Mkalama) CDM OSCAR KAPALALE
3 Singida kaskazini CDM DAVID DJUMBE
4 Singida Mashariki CDM TUNDU A LISSU
5 Singida Magharibi CDM MARCO ALLUTE
6 Manyoni Magharibi CDM LUPAA DONALD
7 Manyoni Mashariki CDM ALLUTE EMMANUEL
Tabora
1 Nzega Mjini CDM CHARLES MABULA
2 Igunga CDM NGWIGULU KUBE
3 Urambo CDM SAMWELI NTAKAMLENGA
4 Ulyankulu CDM DEUS KITAPANDYA NGERERE
5 SIKONGE CDM SAID NKUMBA
6 Manonga CDM ALLY KHALFANI NGUZO
Katavi
1 Mpanda Mjini CDM JONAS KALINDE
2 Mpanda Vijijini CDM MUSSA MASANJA
4 Katavi CDM GEORGE SAMBWE
5 Nsimbo CDM GERALD KITABU
6 Kavuu CDM LAURENT SENGA MANGWESHI
Kigoma
1 Kigoma Kaskazini CDM DR. YARED FUBUSA
2 Kigoma Mjini CDM DANIEL LUMENYELA
Ruvuma
1 Peramiho CDM ELASMO MWINGIRA
2 Mbinga Magharibi/Nyasa CDM CUTHBERT S. NGWATA
3 Mbinga/Mbinga Vijijini CDM EDWIN B AKITANDA
4 Songea Mjini CDM JOSEPH FUIME
5 Madaba CDM EDSON MBOGORO
Orodha ya Majimbo yaliyobaki itatolewa baada ya kukamilika kwa mashauriano katika UKAWA.
Mhe. John Mnyika (MB)
Kny. Katibu Mkuu CHADEMA
18.08.2015
ANGALIZO:
Wakati wa kujaza fomu kutoka tume ya uchaguzi sehemu ya chama wabunge wanapaswa kujaza CHADEMA na siyo CDM yasitokee yale ya serikali za mitaa.
huyu anayejipendekeza ndio mzuri, hata kwetu atajipendekeza piaSaid Nkumba ni kati ya wabunge wanafiki sana, alikuwa anajipendekeza sana kipindi hicho kwa ccm, wakati Lipumba alipopigwa kule Temeke yeye akawa ndio wa kwanza kushangilia sasa hapa ukawa mmekosea kumweka huyo anaweza kupigwa chini maana ni aliyeshindwa CCM akakimbilia huko
Kutumikia nchi au chama sio lazima uwe mbunge,hebu tuache mawazo kama ccm huko tuendako.Mohamed Mtoi mbona hayupo jamani?
Jimbo la Ilala CDM mmecheza kama pele kumuweka Hassanali
Tabora
1
Nzega Mjini CDM CHARLES MABULA 2
Igunga CDM NGWIGULU KUBE 3
Urambo CDM SAMWELI NTAKAMLENGA 4
Ulyankulu CDM DEUS KITAPANDYA NGERERE 5
SIKONGE CDM SAID NKUMBA 6
Manonga CDM ALLY KHALFANI NGUZO
Hapo Igunga kama itakuwa hivi CCM na Kafumu wanashangiliya ushindi saa 2 Asubuhi na kwa jinsi wanachi ambao ni wana CHADEMA walivyo na hasira na hilo jina lililorudi hata Udiwani CHADEMA wameukosa
Mkuu inapoteza maana!
Wakurya waongozwe na mwanamke? Over my dead body.
Inakera sana kuandika CDM kwanini msiandike CHADEMA...official yoyote msifupishe
Sio tu inakera bali inaleta mkanganyiko ndani na nje ya nchi. Aidha Uki-search CDM huwezi pata CHADEMA na vice versa. Hata ukiandika Chadema pia ni kosa! Haionekani, inajificha katikati ya sentensi. Tafadhali viongozi wetu wa chama mnatakiwa mlitambue hilo.
CC:
Molemo
Chademakwanza
Tumaini Makene
Huyu Esta Bulaya alishika nafasi ya Pili huko Bunda.Wawe makini wasiudhi wapiga kura maana wanaweza kupiga Kura za Hasira.
mtama atagombea Mchinjita kwa tiketi ya cufMbona yule SELEMANI Methew ameamia CHADEMA, na amechukua form,wakati jimbo wameachiwa CUF,huyu Mess ataleta vurugu tu upinzani