Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

lkn nawapongeza chadema kwa iteuzi wao lkn napata shida kuhusu mlengo wa chama. taswira ya wateuliwa wote mbona asilimia 98% ni wakristo inamaana chadema haiungwi mkono na waislam. nashangaa kuona hata majimbo yalio na wananchi wengi waislam lkn mteuliwa ni mkristo. nfaomba viongoz wangu tuliondoe hili ili tuondoe hii dhana ya udini. kwa kufanya hivyo tutawashawishi watanzania wote kukipigia kura chama chetu hiki. vinginevyo italeta taswira mbaya kumbukeni tulimshambulia rais kwa kuteua mawazir wengi kwa kigezo cha dini na mada nyingi zilikuwa znajadiliwa hapa jamiiforums kuhusu suala hilo so sasa ni zamu yeti kuunda serikali ambayo itawaunganisha watanzania kwa kutobagua iman zao.
Sidhani kama waliofanya uteuzi ni wadini kama wewe unavyoonyesha hapa. Ni vizuri mkachunga kauli na maanfishi yenu kuliko kuchochea huo udini.
 
Majimbo karibu yote wamechukua CHADEMA! NLD, NCCR na CUF wataambulia vijimbo kiduchu tu

Waziri Mkuu anatokana na chama chenye wabunge wengi bungeni. UKAWA sio wajinga wagawane sawasawa halafu CCM iwe na wabunge wengi Mjengoni. Tunawaopngeza NCCR na CUF kwa kubali majimbo machache kwa lengo maalum - Kumtoa nyoka pangoni.
 
Kazi ngumu sana hii. Mungu awasaidie waliokatwa wawe na moyo wa subira. Nimeshaona haraka haraka sehemu kadhaa ambazo zitaleta jakamoyo, nikianzia na pale Mbulu vijijini ambapo mshindi wa kura za maoni ameachwa na kuchukuliwa aliyekuwa mshindi wa pili.

tuombe heri na umoja hata hivyo.

hata geita wanatifuana kulikuwa na kambi mbili hatar kwa geita mjin na vijijin
 
MUNGU awatangulie.BIG UP sana kwa Esther Matiko,Esther Bulaya,Halima Mdee,Pauline Gekul,Jesca Kishoa,Suzan Kiwanga na Editha Babbeiya MUNGU awabariki katika harakati zenu za kwenda bungeni.

Bila kumsahau Nagenjwa Kaboyoka (Same Mashariki)
 
Back
Top Bottom