Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015


Logical questions mkuu
 
Mkuu ushirika ni pamoja na kubebana ili muinuane. Kama ambavyo Duni katoka CUF kaja CHADEMA basi nanyi mngewasaidia wenzenu akina makaidi nao wawe na wabunge

Badala muangaikie namna ya kukikomboa chama chenu ccm kilichochokwa kwasababu ya dhulma,wizi wa mali za umma,kushindwa kuwatengenezea vijana ajira,mnahangaika na UKAWA.
 
Mambo ya ruzuku mmeishayaweka sawa? Ngoja uchaguzi uishe muone jinsi watu watakavyokuwa wanadai pesa zao!

kwa mawazo kama haya ndo Afrika haiendelei, watu wanafikiria vitu vidogo vidogo, vitu vya hapo kwa hapo, mambo ya ubinafsi wa nani atapata nini, bana eee, it is all about what Tanzania will achieve!
 
lkn nawapongeza chadema kwa iteuzi wao lkn napata shida kuhusu mlengo wa chama. taswira ya wateuliwa wote mbona asilimia 98% ni wakristo inamaana chadema haiungwi mkono na waislam. nashangaa kuona hata majimbo yalio na wananchi wengi waislam lkn mteuliwa ni mkristo. naomba viongoz wangu tuliondoe hili ili tuondoe hii dhana ya udini. kwa kufanya hivyo tutawashawishi watanzania wote kukipigia kura chama chetu hiki. vinginevyo italeta taswira mbaya kumbukeni tulimshambulia rais kwa kuteua mawazir wengi kwa kigezo cha dini na mada nyingi zilikuwa znajadiliwa hapa jamiiforums kuhusu suala hilo so sasa ni zamu yeti kuunda serikali ambayo itawaunganisha watanzania kwa kutobagua iman zao.
 
Hapa Chadema iwe makini maana wengi walianguka kura za maoni. Mpendazole hajawahi kufika Kishapu toka apoteze ubunge leo anateuliwa kugombea. Naona mnachezea kichapo tu
 
Mkuu kuna mzozo mkubwa wa Chadema asilia na Chadema maslahi asikudanganye mtu. Wengine wa Chadema asilia walijua watapona na walishindwa kusoma alama za nyakati. Bora wakioshtukia na kukaa pembeni ka Dr Slaa na Prof Lipumba
Kutokana na comments zako, ni kama umemueleza Profesa Lipumba alikuwa Chadema.

Wewe gamba, hivi ni lini Profesa Lipumba alikuwa mwanachama wa Chadema?
 

Watumie na smss kabisa, uwakumbushe masuala yote muhimu ya kuzingatia likiwemo na suala ma kurudisha form kabla ya siku ya mwisho. Ccm tunawajua wana tabia mingi ya kishetani.
 
Wewe unayejiita mshabiki wa Chadema wakati fikra zako za udini udini makao yake makuu ni huko huko Lumumba kwenu.

Ni vyema hizo sera zenu za udini udini zipeleke huko huko 'nyumbani' kwenu magambani, kwa kuwa huku Chadema hazina nafasi hata chembe na hizo propaganda zako zishindwe kabisa.
 
kwa mawazo kama haya ndo Afrika haiendelei, watu wanafikiria vitu vidogo vidogo, vitu vya hapo kwa hapo, mambo ya ubinafsi wa nani atapata nini, bana eee, it is all about what Tanzania will achieve!
Kwani mkuu Junius unabishana na huyo gamba Kimbunga, kwani hujui kuwa hao ndiyo wale jamaa wa buku 7 Lumumba Sports Club?

Hao jamaa bila kupost chochote humu JF hata kama kikiwa pumba kiasi gani, ndiyo kigezo cha kupata per day yao pale Lumumba.
 

Acha kukurupuka mkuu..hebu niambie sehemu nyingine ambapo kura hizi za maoni zilipigwa kwa hatua ya mtoano na hatua ya fainali (ha ha ha)

Kwa utaratibu wa kawaida kabisa wa kura ya maoni bwana Amani aliongoza kura na ndiye aliyestahili kuwa mwakilishi wa wananchi - huo utaratibu wa kurudia kura kwa hatua ya fainali ndio uliopingwa na watu wengi kwa sababu katiba ya CDM haisemi uchaguzi urudiwe ikiwa tayari kulikuwa na mshindi wakati wa kura za kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…