Elections 2010 Orodha ya Majina ya Wabunge Vijana 2010

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza
 
Hiyo ni kwa mujibu wa nani?
Hebu weka wasifu wa hao vijana hapa ndo tuanzie hapo. Ina maana wewe uko kwenye Kampeni au?
 
Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza

Unawateua wewe au una maana gani? Duuh! mpaka 2010 tutaona mengi kutoka kwa JF "new members"!
 
Kwanza nadhani haijalishi kama wewe ni kijana au mzee ili uwe mwakilishi mzuri bungeni. wapo vijana wabunge hawana sera na wapo wazee pia wenye sera.
 
William John Malecela - Dodoma;
Lakini watuambie pia wanagombea kwa vyama vipi? maana wengine kama watagombea kupitia sisi m basi hatuwapi. C mnakumbuka ya huyu Peter Selukamba?
 
Madebe ya mchanamchana yanaboa wakati mwingine. Any way hata hivyo naona ni mchanganyiko wa mafisadi na mafisadi watoto.
 
People think Politics as a job like any other career rather than a service to and for the people,hao uliwaorodhesha wana mtazamo gani na nini kimekuvutia kwao?
 
Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza

Nani kakwambia Warioba anataka kugombea? Ujana na jazba zinazoendana na ujana haviendeshi nchi; ni busara zinatakiwa!

Mzee Mwanakijiji apewe cheo cha Katibu Mwenezi CHADEMA na mpeni jimbo agombee; angeweza hata kuwa candidate wa urais! Kwani nini, si uwezo wa kuelewa Taifa linataka nini na kuwa jasiri wa kufanyia kazi uelewa huo kwa manufaa ya Taifa? John Mnyika mtafutie jimbo. Toa Emannuel Nchimbi (hatutaki mizengwe na uozo wa jengo la Umoja wa Vijana virudie na kuchafua Serikali mpya) weka yule mama J. Mhagama kwa Songea mjini weka Vita Kawawa Songea vijijini. Makongoro Nyerere mpe jimbo la Musoma mjini au vijijini. Toa Adamu Malima tafuta kijana mwenye busara wa kugombea jimbo lake......
 
People think Politics as a job like any other career rather than a service to and for the people,hao uliwaorodhesha wana mtazamo gani na nini kimekuvutia kwao?

very true!politics is not a career..but miafrika ya leo inachukulia siasa ni kazi.
 
kubenea naye kijana kumbe?

Yeyote aliye na umri wa miaka 50 hadi 30 ni kijana kwenye mambo ya siasa. Angalia mabunge ya nchi zilizobobea kwa demokrasia kuna wabunge gani wa miaka 30 au hata 40 kwenda chini?

Watu kama Kubenea ndio wanaotakiwa kwenye mabunge yetu ili watoe changamoto inayostahili kwa Serikali. Wabunge wengi watu wazima wanagombea ili kuendeleza 'ajira' na si kutoa changamoto kwa Serikali kwa manufaa ya wananchi. Pamoja na mapungufu yote ya kwenye bajeti hatujasikia Mbunge aliyetoa shilingi na kuichangamsha Serikali ipasavyo au utaratibu huo haupo tena?!
 
Naanza
Zito Kabwe (Kigoma kaskazini) ,Nape Nauye (Kinondoni) ,Said Kubenea (mafia),Husein Bashe (Nzega) Jery Slaa (Ukonga) ,Amos Makal (mvomero) ,John Nchimbi (Kigamboni), Sango Kasera (Rorya) ,Dr Emanuel Nchimbi (Songea mjini) ,Martin Shigela (kishapu) ,Denis Msacky (vunjo) ,Alima Mdee (kawe) ,Tom MWANGONDA (MBEYA mJINI) ,John Mrema(rombo),John Mashaka
Grees zinazohitajika ,
Phielemon Ndesamburo,Samwe Sita ,MAMA Kilango,Dr Mwakyembe,DR Slaa,Ole Sendeka,
Mzee Malecela,Kingunge,sarungi ,Warioba,Kitine,na wwngine rika lao wakae pembeni wawaaachie vijana waendeshe gurudumu la Taifa
Ruksa kuongeza

1243197693431.png
 
Yeyote aliye na umri wa miaka 50 hadi 30 ni kijana kwenye mambo ya siasa. Angalia mabunge ya nchi zilizobobea kwa demokrasia kuna wabunge gani wa miaka 30 au hata 40 kwenda chini?

Watu kama Kubenea ndio wanaotakiwa kwenye mabunge yetu ili watoe changamoto inayostahili kwa Serikali. Wabunge wengi watu wazima wanagombea ili kuendeleza 'ajira' na si kutoa changamoto kwa Serikali kwa manufaa ya wananchi. Pamoja na mapungufu yote ya kwenye bajeti hatujasikia Mbunge aliyetoa shilingi na kuichangamsha Serikali ipasavyo au utaratibu huo haupo tena?!

Kubenea kwanza ampatie baba yake kazi ya kuendesha magari ya Mwanahalisi kisha amjengee nyumba kule Baleni, Mafia kisha mwenyewe akamwombe msamaha "deddy" wake kisha ndio afikirie kugombea ubunge
 
Hiyo orodha haijakaa vizuri,tunaowajua unawaondoa sasa hao uliowaweka sifa zao ni zipi.
 
Kubenea anafaa sana uongozi umahiri wake katika uandishi kama kiboko cha mafisadi ni ushahidi.Mambo ya kuomba radhi ni ya binafsi yake,tuache ushabiki unaoipa nchi yetu viongozi wazuri wa sura lakini wasio na maadili ya uongozi.
 
Back
Top Bottom