GWANCO1
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 277
- 338
Wanaukumbi
Kumekuwa na kauli za kubeza juhudi za serkal ya awamu juu ya kupambana na mafisadi na ufisadi na wengine humu wana sema hakuna aliyekamatwa
Orodha hii hapa na wewe waweza kuongeza ili kuweka kumbukumbu sahihi
1.James Rugemarila :escrow
2.Seth:escrow
3.Masamaki :kumiliki mali zaidi ya kipato chake
4.sioi sinare.
5.Jamali Malinzi
6.Mhasibu wa TAKUKURU
7.Viogozi Wa club ya Simba
8.Muagizaji vichwa na Mabehewa ya trean
9.Mpemba :Mzee wa mashine za EFD alikuwa anapiga mamilion kwa dakika
10.Mmiliki wa mabasi ya Muro kwa kujiunganishia bomba la mafuta
11.Henry Kitilya
12.DG wa mradi wa mabasi ya mwendo kasi na mkewe
Kuna watumishi wengi wa umma na mashirika binafsi ambao wamefukuzwa au kusimamishwa kazi na uchunguzi bado unaendelea achilia mbali tumbua tumbua za wanaosababisha hasara
Tusibeze juhudi hizi za JPM