Orodha ya mafisadi waliokamatwa tangu Rais Magufuli atie maguu Ikulu

GWANCO1

JF-Expert Member
May 22, 2019
277
338
Wanaukumbi

Kumekuwa na kauli za kubeza juhudi za serkal ya awamu juu ya kupambana na mafisadi na ufisadi na wengine humu wana sema hakuna aliyekamatwa

Orodha hii hapa na wewe waweza kuongeza ili kuweka kumbukumbu sahihi

1.James Rugemarila :escrow
2.Seth:escrow
3.Masamaki :kumiliki mali zaidi ya kipato chake
4.sioi sinare.
5.Jamali Malinzi
6.Mhasibu wa TAKUKURU
7.Viogozi Wa club ya Simba
8.Muagizaji vichwa na Mabehewa ya trean
9.Mpemba :Mzee wa mashine za EFD alikuwa anapiga mamilion kwa dakika
10.Mmiliki wa mabasi ya Muro kwa kujiunganishia bomba la mafuta
11.Henry Kitilya
12.DG wa mradi wa mabasi ya mwendo kasi na mkewe

Kuna watumishi wengi wa umma na mashirika binafsi ambao wamefukuzwa au kusimamishwa kazi na uchunguzi bado unaendelea achilia mbali tumbua tumbua za wanaosababisha hasara

Tusibeze juhudi hizi za JPM
 
Ni pale tu watakapohukumiwa kuwa wakosa kwa ushahidi usiyo shaka ndipo waweza waita mafisadi,
Wawapo watuhumiwa hupaswi huwahukumu,
Dunia ina mengi!
 
Wanaukumbi

Kumekuwa na kauli za kubeza juhudi za serkal ya awamu juu ya kupambana na mafisadi na ufisadi na wengine humu wana sema hakuna aliyekamatwa

Orodha hii hapa na wewe waweza kuongeza ili kuweka kumbukumbu sahihi

1.James Rugemarila :escrow
2.Seth:escrow
3.Masamaki :kumiliki mali zaidi ya kipato chake
4.sioi sinare.
5.Jamali Malinzi
6.Mhasibu wa TAKUKURU
7.Viogozi Wa club ya Simba
8.Muagizaji vichwa na Mabehewa ya trean
9.Mpemba :Mzee wa mashine za EFD alikuwa anapiga mamilion kwa dakika
10.Mmiliki wa mabasi ya Muro kwa kujiunganishia bomba la mafuta
11.Henry Kitilya
12.DG wa mradi wa mabasi ya mwendo kasi na mkewe

Kuna watumishi wengi wa umma na mashirika binafsi ambao wamefukuzwa au kusimamishwa kazi na uchunguzi bado unaendelea achilia mbali tumbua tumbua za wanaosababisha hasara

Tusibeze juhudi hizi za JPM

Ulichoandika kina nia nzuri ya kutaka kuonyesha juhudi za rais wetu Magufuli! Lakini aina ya uandishi na uelewa wako mdogo inachafua!!! Unatakiwa uwe na uakika na majina na pia unachoandika majina yamekosewa yaani utafikiri wewe ni mrundi siyo mtanzania na wala ufwatilii vyombo vya habari!!!nimechukia sana
 
Back
Top Bottom