Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

Musoma - Mwanza
J4, Zuberi, Tanganyika Bus, Bukwaya, Batco, Zakaria Air Bus, Ndio Mzee/Johanvia, Osaka, Ratco, Mwanza Coach, Musoma Express, Mohamed Trans, Hekima ya Mungu, Air Jordan, Ally's, Adventure, Saratoga,Frester nk
 
Morobest-Kilombero-Moro mjini-Dar-Kilosa

Kidinilo---Moro mjini>Kilosa>Mahenge>Ifakara>Malinyi>Kilombero>Dar> mmikiki Mzee Kidinilo
 
Farai Coach
Nyehunge Express
Dedani Express
Bunda Bus
Tanganyika Bus
Bukwaya Bus
Ndomi Expresss
Mkirya Mwambara
Trans African Roadways
Jaramogi Odinga Oginga Railway
Asante Pole pole
Chuma's Bus
Songolo motors
African Bus
Twendepolepole
 
Digidigi
Mwanza mjini kayenze kupitia igombe maximum speed 50km/h.
Enzi hizo mengi yalikuwa Leyland au DAF
Digidigi nimeyapanda sana wakati nasoma Kayenze Shule ya Msingi kwa mwalimu Moses Kipanda! Sijui mwalimu wangu huyu aliishia wapi?
 
Tasharif
Tawaqal
Taqwa
Bembea
Ratco
Simba mtoto
Baraka
Lali
Maning nice
Selous
 
Tasharif
Tawaqal
Taqwa
Bembea
Ratco
Simba mtoto
Baraka
Lali
Maning nice
Selous
raha leo
Tahmeed
Air bus
Modern coach
Mabas ya shiligi sjui jamaa alikua anapima njia mpaka leo halipo
Kapricorn
Raqeeb
Hajees
Mo trans
 
Musoma - Mwanza
J4, Zuberi, Tanganyika Bus, Bukwaya, Batco, Zakaria Air Bus, Ndio Mzee/Johanvia, Osaka, Ratco, Mwanza Coach, Musoma Express, Mohamed Trans, Hekima ya Mungu, Air Jordan, Ally's, Adventure, Saratoga,Frester nk
Mkuu ally's bado yapo
 
Ongezea Africa raha mkuu.
Musoma - Mwanza
J4, Zuberi, Tanganyika Bus, Bukwaya, Batco, Zakaria Air Bus, Ndio Mzee/Johanvia, Osaka, Ratco, Mwanza Coach, Musoma Express, Mohamed Trans, Hekima ya Mungu, Air Jordan, Ally's, Adventure, Saratoga,Frester nk
 
Abood Bus Service - Dar / Moro, Moro / Arusha , Moro / Mwanza , Dar / Iringa ~ Mh Abood ( Mbunge wa Morogoro Mjini )

HOOD - Moro/Dar, Arusha Mbeya etc ~Mzee Hood , Morogoro

SHABIBY - Same /Dodoma, Arusha /Dodoma, Moshi / Dodoma, Dodoma / Dar ~ Mh Shabiby ( Mbunge wa Gairo )

OSAKA -

NGORIKA -

CHAKITO -

CHAMPION -

MGHAMBA -

MTEI -

KIAZI KITAMU -

KISU CHA NGARIBA -

NEW FORCE -

UPENDO -



Tuendelee wakuu

KIMOTCO -

COASTAL LINE
Kwa kuuboresha huu uzi ni vyema mwenye idea ya bei elekezi aziweke humu( japo najua hutofautiana kidogo) lakini itaweza kumpa mwanga kwa aneyefikwa na dharura ya kutumia njia asiyoizoea.
Naanza na:
Dar- Tanga 13k.
Dar- moro 7k
Musoma- Mza 8k.
Mza- Kgm 30k.
Dar- Mza 45k.
Dar- Musoma 50k.
Endelea................
 
Back
Top Bottom