Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

Write your reply....mtei exp ni ya mchaga anAitwa mtei
hai exp na hapy nation ya mchaga
Osaka raha ya mchag
prince muro ya mchaga
machame safar,lim safari za mchaga
bm ya mchaga(blaise makundi)
dar exp MZEE mremi
meridian exp mchaga
IBRA line mchaga
ester exp mchaga
tilisho exp mchaga
kidia one mchaga
kampuni za mabasi karibia nusu zote n za wAchaga
 
Super Najimunisa....
Zuberi....
Zacharia....
Esther luxury....
BM coach....
Buti LA Zungu aka "Saidi"
Manning nice....
Machinga....
Msimbati line...
Dar express....
Mombasa raha...
Dar lux....
New force one...
Kwenye buti la zungu aka said ongezea namachokole,.
 
Abood Bus Service - Dar / Moro, Moro / Arusha , Moro / Mwanza , Dar / Iringa ~ Mh Abood ( Mbunge wa Morogoro Mjini )

HOOD - Moro/Dar, Arusha Mbeya etc ~Mzee Hood , Morogoro

SHABIBY - Same /Dodoma, Arusha /Dodoma, Moshi / Dodoma, Dodoma / Dar ~ Mh Shabiby ( Mbunge wa Gairo )

OSAKA -

NGORIKA -

CHAKITO -

CHAMPION -

MGHAMBA -

MTEI -

KIAZI KITAMU -

KISU CHA NGARIBA -

NEW FORCE -

UPENDO -



Tuendelee wakuu

KIMOTCO -

COASTAL LINE
HOOD alishaondoka na kurudi kwao India. Mtoto wake aliyezaa na Mluguru ndiye anaendelea na hiyo biashara ingawa si njia ya DSM. Wale watoto wa mke mhindi hawajui kazi ndiyo wamebaki na mikangafuu hiyo michache. Kwa ufupi mtoto wa Mluguru aliaminika zaidi ya wale wa muhindi.
 
HOOD alishaondoka na kurudi kwao India. Mtoto wake aliyezaa na mluguru ndiye anaendelea na hiyo biashara ingawa si njia ya dsm. Wale watoto wa mke mhindi hawajui kazi ndiyo wamebaki na mikangafuu hiyo michache. Kwa ufupi mtoto wa mluguru aliaminika zaidi ya wale wa muhindi.
Weka ushahidi hapa acha porojo wewee
 
Kama tumefikia huku basi Sawa...!!!

Na mimi naongezea!!

Kilenga raha

Kibwana express

Mchome Trans....
 
Tanga-Dar
Tanga-Dodoma
Ratco bus,(Mmiliki ni Mohamed Salim/Kifaranga)

Bm coach(Mmiliki ni Blasto Makundi)
 
Back
Top Bottom