Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,059
Lupelo
Makete
THP Babu
Nganga
Tisheti na jeans
Makete
THP Babu
Nganga
Tisheti na jeans
Farai Coach
Nyehunge Express
Dedani Express
Bunda Bus
Tanganyika Bus
Bukwaya Bus
MUSOMA BUS SERVICE
Ndomi Expresss
Wamiliki wa bas hizo ni naniSuper Najimunisa....
Zuberi....
Zacharia....
Esther luxury....
BM coach....
Buti LA Zungu aka "Saidi"
Manning nice....
Machinga....
Msimbati line...
Dar express....
Mombasa raha...
Dar lux....
New force one...
FaraiTanganyika bus
Trans Africa
Digidigi
Ngofilo
Sinai
Songolo
Kama nawe ni wa Mwanza tangu kitambo ongezea kisha like twende pa1
Tanganyika bus
Trans Africa
Digidigi
Ngofilo
Sinai
Songolo
Kama nawe ni wa Mwanza tangu kitambo ongezea kisha like twende pa1
Bunda bus service.Tanganyika bus
Trans Africa
Digidigi
Ngofilo
Sinai
Songolo
Kama nawe ni wa Mwanza tangu kitambo ongezea kisha like twende pa1
DuhKwa kuuboresha huu uzi ni vyema mwenye idea ya bei elekezi aziweke humu( japo najua hutofautiana kidogo) lakini itaweza kumpa mwanga kwa aneyefikwa na dharura ya kutumia njia asiyoizoea.
Naanza na:
Dar- Tanga 13k.
Dar- moro 7k
Musoma- Mza 8k.
Mza- Kgm 30k.
Dar- Mza 45k.
Dar- Musoma 50k.
Endelea................
Kwamba yote mmiliki ni mmoja?Saratoga express and Adventure express..
Ya mzee Khalfan Sound, Saratoga nini Mali ya watoto was mke mkubwa Na Adventure ni Mali ya watoto wa make mdogo
- Kigoma to Dar
- Kigom to Arusha
- Kigoma to Mbeya
- Kigoma to Mwanza
- Kigoma toTabora
- Kigoma to mpanda
Yap yote ni Mali ya MTU mmoja ila amazigawa katika familia 2, familia ya mke mkubwa Na mke mdogo.. Ndio wanasimamiaKwamba yote mmiliki ni mmoja?
Safi sana hakuba ugomvi hapoYap yote ni Mali ya MTU mmoja ila amazigawa katika familia 2, familia ya make mkubwa Na mke mdogo.. Ndio wanasimamia
Kwa juu hivi kuna ndege mmoja sijajua kama ni njiwa au kipanga (tai) amebeba miguuni mwake vitu kama matawi ya miti.Write your reply....mtei exp ni ya mchaga anAitwa mtei
hai exp na hapy nation ya mchaga
Osaka raha ya mchag
prince muro ya mchaga
machame safar,lim safari za mchaga
bm ya mchaga(blaise makundi)
dar exp MZEE mremi
meridian exp mchaga
IBRA line mchaga
ester exp mchaga
tilisho exp mchaga
kidia one mchaga
kampuni za mabasi karibia nusu zote n za wAchaga
+ Mombasa RahaOngezea Africa raha mkuu.
Duuu, Msimbati line nadhani kampuni ilijifia kama sikoseiSuper Najimunisa....
Zuberi....
Zacharia....
Esther luxury....
BM coach....
Buti LA Zungu aka "Saidi"
Manning nice....
Machinga....
Msimbati line...
Dar express....
Mombasa raha...
Dar lux....
New force one...
Tena hao ni Lucky star au princess Muro wanacharge hio, Falcon 55k ila ni zuri bus lao zaid ya hao wakongwe.Duh
Dar Musoma 50
Parefu sanaaa
Kidate ajipange haswa
Yaani mbona bei sana.Tena hao ni Lucky star au princess muro wanacharge hio, Falcon 55k ila ni zuri bus lao zaid ya hao wakongwe.
Ni mbali balaa, ukitoka Dar saa 12 unafika kesho yake saa tano hadi tisa jioni siku ifuatayo.Yaani mbona bei sana.
Duh.
Kwetu Lushoto elfu 15 mpaka mlangoni na chenchi juu
Bila kusahau Mamba safaribila kusahau Mashiku na Afican Bus
HaiwezekaniNi mbali balaa, ukitoka Dar saa12 unafika kesho yake saa tano hadi tisa jioni siku ifuatayo.