Hivi Plepole naye hajamtukana Lowasa kwamba ni marehemu? naye akitangulia poa tu! Sisi hatukatai kupigana vijembe vya hapa na pale ufisadi wizi nini sawa tu! Lakini inapofikia wewe binadamu ambaye uhai si wako unafikia hatua ya kumwita binadamu mwenzako marehemu mgonjwa wa ICU na kadhalika, eti ufe tukusikitikie. No way! Vifo vya nmana hii ni fundisho na ningependa viandikwe hata kwenye Magazeti ili watu wengi waone na wajifunze kwamba uzima na kifo ni zawadi kutoka kwa Mungu! Tupige propaganda na mambo mengine lakini si uhai wa watu wengine. kwa kweli wote waliosema Lowasa ni maiti sijui marehemu n.k na wamekufa nasema asante Mungu kwa kutoa hilo fundisho kwa sisi tulio hai! Tunaomba km ikikupendeza uwachukue pia na Kina Nape, Bulembo na wenzake wote wanaodhihaki uzima wa wengine ili binadamu wote wajue kwamba wewe ndiye Baba, mwenyezi utoaye uzima na kifo! ee mwenyezi basi uinuke uwatee hawa wanyonge wanodhihakiwa na kudhalilishwa. Asante Mungu kwa kusikia sala na dua yangu na naamini unaenda kutenda sasa!