Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
"Warioba anakaribia kufa kaona atuachie matatizo ya katiba."
⚰Captain Komba! R.I.P.
"Afadhali huyu mgonjwa Lowassa ameondoka, angetufia na kutuongezea gharama za mazishi."
⚰Celina Kombani! R.I.P.
"Nasema hivi Lowassa ni mgonjwa hawezi kumaliza hata wiki Ikulu!"
⚰Didas Masaburi R.I.P.
"Lowassa ni mgonjwa na dhaifu, hawezi kupewa dhamana ya kuongoza nchi, Akipatikana rais anayeishi kwa matumaini, kwa hofu ya kupoteza uhai atatumikia masilahi yake zaidi kuliko taifa."
⚰Mchungaji Mtikila, R.I.P.
"Hatuwezi kumchagua Lowassa, mimi najua vizuri, ni mgonjwa anaweza kufa wakati wo wote, na kulipa taifa hasara ya kufanya uchaguzi mpya."
⚰KAULI YA SAMWEL SITTA AKIWA UWANJA WA SOKOINE:- R.I.P.
[emoji205]Who is the next......
Kauli za wanasiasa hapo juu na hatima yao ni jambo ambalo limenifikirisha na kuniongezea unyonge na unyenyekevu zaidi mbele ya Mungu.
Wanasiasa wengi hawafikirii hatima ya maisha yao zaidi ya kuhangaikia vyeo vya kidunia.
Hudiriki hata kuwa waamuzi wa hatima ya maisha ya wengine kwa manufaa yao na kuweka pamba masikioni kutosikia sauti ya Mungu mioyoni yenye kututanabaisha ukweli wa maisha yetu yako mikononi mwaka Mungu.