Ndo maswali aliyouliaz Lema bungeni hayo. Kwamba maisha ya Ben Saanane ni ya chini kuliko faru Johnfaru anathamani kulipo binadamu.
kwelii hii ni serekali ya wanyonge.
anashindwa akili na mademu zetuDah mkuu kweli umeufanya usiku wangu kuwa murua nimecheka hadi machozi
Mimi imani kwa CCM ilishakufa miaka msingi sana. Naamini chama kinachokama watu na kuwaua?Jf isigeuke mahala pa kuanika povu.kama mwili wa moja wao umepatikana serikal imetenga mil 760 kwa ajili ya uchunguzi wa nini kimesababisha umauti wao.tuiamini serikali ,tukiamini Chama cha mapinduzi.
Rais wa wanyonge anainyosha nchi..acheni kelele
hivi hao farasi hawana chakula kingine zaidi ya soda, chips, mayai, nyama_ na bia?Faru anakula kipande kirefu kuliko mshahara wa rais,kwel maajabu yapo.
nasikia wana checklist ndefu sana. JF hamnko salamaWatawaua au kuwanyamazisha wangapi?
Jf isigeuke mahala pa kuanika povu.kama mwili wa moja wao umepatikana serikal imetenga mil 760 kwa ajili ya uchunguzi wa nini kimesababisha umauti wao.tuiamini serikali ,tukiamini Chama cha mapinduzi.
faru anathamani kulipo binadamu.
kwelii hii ni serekali ya wanyonge.
Spoiled my dayJf isigeuke mahala pa kuanika povu.kama mwili wa moja wao umepatikana serikal imetenga mil 760 kwa ajili ya uchunguzi wa nini kimesababisha umauti wao.tuiamini serikali ,tukiamini Chama cha mapinduzi.
Saa nyingine unaweza kuta nyumba nyeupe haihusiki kabisa, kifo cha chacha wangwe kinanifikirisha sanaShetani ametamalaki pale ukingoni mwa Bahari.