bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Kipindi chao kinarushwa hewani SAA ngapi?
Wanaonyweshwa tbc1 saa 3 usiku j2..wanaboa kusema kweli...kweli kila zama na nabii wake.
Sina uhakika na saa ila kipo east africa tv
Cha east co origino comed kile ni zekomed....origino komed ni ya kina joti tbc 1 na zecomed ni ya kina mtanga eatv mkuu
Oooh......
Mimi sikumbuki mala ya mwisho kuwaona ilikuwa mwaka gani