Orijino Komedi ya TBC1

point taken! lakini kumbuka muda mwingi tuko makazini, wanapobaki wenyewe cjui inakuaje?

hawa jamaa na zaidi masanja huwa aniboa sana bora wengine yani yeye kwanza sio creative, matusi anayotumia hata mtoto mdogo anaelewa anamaanisha nini yani ukikaa karibu na watoto au watu wazima ni fedheha tupu
maswali kama unatumia condom?, huwa unapiga kavukavu? unapiga nyama kwa nyama? hayakubaliki aaaaagggggh lkn pia kuna times fm nilisikia siku moja kipindi cha mchana alikuwa akiongea bi hindu ee mungu tuepushie hili janga
 
since twapata TBC 1 online sasa .. tuambieni yachezwa lini / siku gani na saa ngapi..?
 
Toka walipochukuliwa kwenye kampeni za CCM,yani wamekuwa si wakosoaji/waelimishaji kama ilivyokuwa hapo mwanzo.....sijui wamelewa pesa za kifisadi?dah.....wabadilike kama wanataka wawe kwenye game kwa mda mrefu.
 
hapo umenchekesha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…