mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,652
- 1,238
Akhsante sana paka jimmy kwakunijuza hayo,mi nilikuwa sijui kama huyu bwana Manji ndio baba mlezi wa kituo kikubwa cha tv tena cha serikali,hivi hii serikali inanjaa kiasi hiki?Upumbavu at its best!
Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.
God Forbid!!
'I would rather be deaf,mute and blind!!!!