LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
leo nilikuwa napekua makabrasha ya zamani ya movie nikaikuta hii movie ya ORIGINAL SIN,Angelina Jolie na Anthony Banderas,bonge moja la joint,kwa ambae hajaiona na anapenda movie kali ajaribu kuitafuta afurahishe nafsi yake...
ANGALIZO;
usiangalie sebuleni na watoto,ina scene za ndoa sehemu sehemu...
ANGALIZO;
usiangalie sebuleni na watoto,ina scene za ndoa sehemu sehemu...