Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

Original Commedy yaivua nguo CHADEMA!

ACHEBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
348
Reaction score
76
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
 
Masanja kazungumza kweli ila kwakuwa Bwana nyepesi ameshaenda mahakamani hapo suluhu hakuna zaidi kuoneshwa mlango wa kutokea,
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

hawa ni wapiga kampeni wa ccm kwenye uchaguzi mkuu, usitegemee waisifie cdm
 
Umeeleza vizuri kuwa "...Wameigiza...." uzuri wa maigizo hubaki kuwa igizo, wakumbushe wiki ijayo waigize namna wananchi wanapo nunua umeme wa elfu10 nyuso zao zinaonekanaje halafu igizo hilo lisome uhalisia.

Vipi JUNIOR SLAA ( kichanga cha dokta , katibu mkuu) hajambo?
 
waende zao wamemtoa kafara mwenzao mpaka leo hasimami ni wakulala tu kule kigamboni, wao wanapiga madili ya madawa, mc na indigo.
 
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!

" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji

Afadhali tuwe tunajua vijana wenzetu wako upande gani.
 
Original comedy vibaraka wa ccm ndo maana wemeenda tbcccm ,hawana jipya lazima wawasifie mabwana zao hao.
 
Ukweli mchungu sana huu , maana MBOWE sasa hivi ni kama anatembea uchi wa mnyama kwa aibu za uzinzi na wizi wa fedha za hongo ya mkono na rostam

Mbowe anawashikisha adabu kweli kweli
 
Ukweli mchungu sana huu , maana MBOWE sasa hivi ni kama anatembea uchi wa mnyama kwa aibu za uzinzi na wizi wa fedha za hongo ya mkono na rostam

Wewe ni msaliti. Mambo ya chademu hayasemwi hadharan
 
Back
Top Bottom