masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,730
- 16,493
- Thread starter
- #21
kifupi ni kwamba hao vikaragosi wa TBC1, EATV, ITV, STAR TV wote hamnazo....
ki ukweli Hamna wanachofanya
mbaya zaidi tulizoea wanaipa changamoto serikali kwa njia ya vicheleaho sasa hivi naona ndo wanawapamba
hakuna kitu kwisha habari yao wale jamaa