Nasikia raha ninapo kutana na watu kama sampuli yako kwa kuwa uwaa awajui na ujifanya niwatoa hukumu kuliko Mungu wewe unamashaka na mm twende tukaandikishiane polisi uone utakavyoo aibika kwa kuongea vitu usivyo vijua kakaWewe ni tapeli mwenzio mwizi wa magari kadakwa huko msakuzi bado nyinyi na ile nr nyingine mlotumia kutapeli watu ipo on track just wait and see
Wewe ni tapeli na tutawashughulikiaNasikia raha ninapo kutana na watu kama sampuli yako kwa kuwa uwaa awajui na ujifanya niwatoa hukumu kuliko Mungu wewe unamashaka na mm twende tukaandikishiane polisi uone utakavyoo aibika kwa kuongea vitu usivyo vijua kaka
Pole awakitaka twende polisi tukandikishane kweli nikakimbie naela ya mtu kwa faida gani ukiona mtu wa hvyo huyo sio mfanyabiashara na kufanikiwa nikaz ngumu maana dhuluma mbayaMambo ya kelvin isaya haya, watu walilia sana, bado hawajasahau
IPhone 6s 64GB nitapata kwa bei gani mkuu?Tajiri yangu kwa ukweli kwa laki mbili tablet kwa korea inakua mtihan kupata na simu nyingi kwao ni samsung na iphone na lg zipo kwa wingi Tajiri
Uhaminifu nikitu cha msingi hata nikiwa na ofsi bila ya kujipanga nikafungua tu kwa ajili ya kuwa wanufaisha muone ni ofisi alafu mnipe pesa zenu uwezo wakupndoka nazo bado nipale pale ila kwenye biashara sio wote watakao kuamn unaacha wachache wanaokuamn wakuamn boss hao wengine watakuja kupataka ukweli baadae sana maana sikuhz biashara ni kwanjia ya mitandao ata alibaba amazon pia wanauza kwa mitandao je kama nawao wakitokea wengine kama wao wakifungua wakiwatapeli mnategemea wao watawalipa kama sio wao waliopokea ela kwa hyo niswala la uhaminifu atanikiwa naofs bado lazma nifanye kitu uniamn mteja wangu ofis sio dhamana yawewe kuniamn kwenye swala la biashara kujenga uhamnifu na mteja ndio mengne yafate atanikiwa na ofs unaweza usiniamn tena wewe ukiwa uko tayar beba ela yako twende polis tukaandikishane pale ili uwee na uhuru ata nikikutapeli wanitafute kadri wawezavyo wao bossDada matapeli wamekuwa wengi siku hizi. Wanaiba wenye ofisi zao zilizosajiliwa,tukuamije wewe na maneno yako matupu?
Ukisepa na hela zetu tutakupatia wapi?
Ni mapema sana kuweka tangazo kama hili,tafuta ofisi uisajili brela ndo uje tena hapa.
Boss sijakuambia za uko wewe angalia model uniambie modeli hii tablet fulan je ni bei gan kwa uko ntakuambia maana tablet zipo model mbali mbali bosi wanguNipe za bei poa huko mimi nichague kama ningekuwa nataka za huku nisingekuuliza ww wa korea
Hahaha jogi hata haimjii mtu akilini kweli upande ndege hadi Korea kufata Mzigo halafu hauna hata kaofisi?Mi nampa za uso mwanzo mwisho, mpaka aukimbie uzi wake.
Umetisha mkuuAdvance naiacha kituo cha police na maandishi sim ikifika tunamaliziana hapo hapo kituon.
Samsung Galaxy J5 bei gani?Asante kaka akitokea muhitaji ntamwambia ila mm uwa nazifata kiongoz na nying uwa na samsung na lg na iphone nichache sana naletaga boss
Kila mtu na mapendekezo yake yakufata mzigo nchi anayopenda kama wewe ulivyopenda kenya kila mtu ana maana yake ndio maana kuna biashara za nchi mbali mbali pendekezo lako wewe mwenyewe na usizan ofis nikitu kirais kuwa nacho ndugu yanguHahaha jogi hata haimjii mtu akilini kweli upande ndege hadi Korea kufata Mzigo halafu hauna hata kaofisi?
Haya basi njoo nazo uje utuuzie huku eti mtaji mdogo
Mtaji mdogo unapanda ndege ya nini si uanze mdogo mdogo aende Kenya akachukue cm ni bei cheap aje auze mtaji ukikua afungue duka hahahaha eti yuko kwa akina jumong