Wewe ukiniamini ataukisema tukaandikishane sijui kwa mwanasheria au polisi it fine hapo ndio kwenye trust yako alafu utakapo pata mzigo wako utabak na aibu maana wengine sie sio matapeli kama mnavyo fikiria ukiona mfanya biashara unakosa uhaminfu kwa mteja wako ujue kaz hipo ila mm napendaga sana trust atanikikukabithi mzigo wako ukiniambia unashidaah hii lazma nikusikilize ili muda mwingne uniagize kitu kingine kwa uhaminifu huo huo ulio niamini mimiEti jitu ulijui ulikabidhi 1M hv hv kirahisrahis na usawa huu.mamaee
Hakuna mtu aliyenipa mdomo kuwa na adabu we mtoto!!! Ebo.Embu soma kichwa cha habari uelewe sawa nimekuambia ni mtaji au nazileta kwa order ata kama mtu wakiagiza watano bora najua azito kaa kama nilizoleta mwanzon na zimebak tatu tu sio unasema tu kwa kuwa mdomo umepewa bure kiongoz na hulipi kodi
Pole saaa jogi sawaa mdomo ni mali yako umepewa utamke unachofikiria ataukisema mm ni mtoto mchanga kwenye utapeli sawa hicho nikinywa chako kimenena hvyo ila najijua binafs siwez kumdhulumu mtu ata mara moja na hata siku moja nakuwa najiaribia mwenyewe ila wewe sema unavyo weza hii hali mdomo niwako sema na waza unavyofikiria tuManeno yako hayana bima.
Ulichoninukuu sicho ulichojibu na ulichokiedit ndicho kimehusika.
Ila huu msamiati wako wa "kukremisha" unaonyesha level yako ya utapeli bado ipo chini kidogo
Mnunuzi wa simu sio mteja.Wewe ukiniamini ataukisema tukaandikishane sijui kwa mwanasheria au polisi it fine hapo ndio kwenye trust yako alafu utakapo pata mzigo wako utabak na aibu maana wengine sie sio matapeli kama mnavyo fikiria ukiona mfanya biashara unakosa uhaminfu kwa mteja wako ujue kaz hipo ila mm napendaga sana trust atanikikukabithi mzigo wako ukiniambia unashidaah hii lazma nikusikilize ili muda mwingne uniagize kitu kingine kwa uhaminifu huo huo ulio niamini mimi
Soma post utaelewa siendi kufata simu tu bali na vitu vingne inaonekana kuelewa kwako nishidaah sana alafu mtu wa sampuli kama yako wapo kwa ajili ya kumkatisha mtu tamaa my friend mm sio wa hvyoo sawaa ata kusoma post nyuma urud unaropoka tu kasome uatelewa alafu tafakar na kichwa nilichokiandika sio unakuja hapaa unaandika tu usichokielewa kaka sawaaHakuna mtu aliyenipa mdomo kuwa na adabu we mtoto!!! Ebo.
Yaani unalipa nauli ya ndege kwenda korea kuleta simu tano? Ambazo nazo unataka uongezewe mtaji (downpayment)
Hakuna mjinga wa hivyo humu.
Hakuna mali inaitwa mdomo!!!!Pole saaa jogi sawaa mdomo ni mali yako umepewa utamke unachofikiria ataukisema mm ni mtoto mchanga kwenye utapeli sawa hicho nikinywa chako kimenena hvyo ila najijua binafs siwez kumdhulumu mtu ata mara moja na hata siku moja nakuwa najiaribia mwenyewe ila wewe sema unavyo weza hii hali mdomo niwako sema na waza unavyofikiria tu
Nikuondolee upumbavu mm nilikuita hapa uandike kaka mbona akili yako inakuwa fupi sana unashindwa ata na mtoto wa chekechea kaka jitafakar unapo fka nakuandika sio unaandika kama vile ujielewi sawaaMnunuzi wa simu sio mteja.
Mteja huja akaenda akaja tena.
Tuondolee upumbavu humu
Wewe sindio zezeta ambae atapost ya nyuma kusoma ujasoma uelew unaandika tu kama mtu anaepewa ofa ya bia ndotoni na kuropa tu nipe bia tano hii hali umelala na unajua uwez zimalizaHakuna mali inaitwa mdomo!!!!
Acha kuonyesha kipaji cha uzezeta
Umepitia post za nyuma kaka ukaona hayo yote wameniuliza nimewajibu na ofisi sio unaikuta tu kiongoz ofisi inatengenezwa mkuu na uwez kukurupuka ukaitengeneza tu ofisi sawa mdogo mdogo kote uko tunafka kwan wewe ulizaliwa ukaanza kutembea siku ya kwanza uliofka dunian silazma ulipitia stage mbali mbali mpaka hapo ulipo sasa ni mtu mzima unajitambua kabsa na mm ofisi kidogo kidogo msidhan wakariakoo walianza tu walipambana mpaka pale wapo na fremu kwa hiyo na mm mdogo mdogo nafika uko muda sio mrefu kaka na mawasiliano mbona namba hipo nimeshatoa kiongozDuuuh biashara ngumu... Yaani unauza simu sisi ndio tukuombe mawasiliano, tukuuliza ofisi iko wapi.... Tangazo la biashara hili au maigizo??
Akili za Kibongo Movie bwana... Full Kolomije...
Niwapige nipate faida gani mm najua ela mlipozitolea uko kama mmezisomea kisomo alafu nikudhulumu itasaidia nn au umezitoa kwa waganga uko na mashart kibao itasaidia nn au kutwa nzima ulali unaitafuta hiyo pesa ntapata nn nikikudhulumu mm na utaniamn tena kujoin hiyo tarehe sio tatizo tatizo niwewe kuniamini tu basi utakapo niamn na kunipadhamana ya pesa yako umesha jenga trust kwangu na unanijengea cv nzur na ukipata mzigo wako unakuwa tayar una mashaka na mm tena mm siwez kukutapeli ntakapo kuletea mzigo ukiupata mm nakuwa kwenye nafas nzur ya biashara atatukikutana kwenye mitandao mingne ya biashara inakua rahisi na unaendelea kuniamini na sio kukutapeli alafu nipate nn mmKitu kinachonishangaza seke seke la Kelvin lilikuwa hivi hivi alivotokomea hakuna ambaye angeamini
Sasa na wewe umejoin JF March 18/2017.... Sijajua umekuja kwa lengo la kuwapiga watu au kufanyabiashara ndo maana mashaka hayaniishi
Wewe sio macho yangu kusema kuwa sijasoma posti za nyuma sijui mbele huko!!!!Wewe sindio zezeta ambae atapost ya nyuma kusoma ujasoma uelew unaandika tu kama mtu anaepewa ofa ya bia ndotoni na kuropa tu nipe bia tano hii hali umelala na unajua uwez zimaliza
Kufikiri kwako ndio kuliko ishia hapo mkuu atakwenye safar ya mafanikio watu kama wewe wapo kwa hiyo sto shangaa na akili zako atakwenye familia yako wanatabu sana inaonyesha wazi wewe ndio kikwazo kwa ndugu zako wasiendelee hvyoo sito kushangaa ningekuwa biashara nimeanzia humu hapo sawa ila sikuanzia hapaa kwa hiyo uweez kunikatisha tamaa kwa maneno yako never ever kabsa wewe ongea mdomo mali yako bwabwaja unavyoweza ndio kipaji chako hcho ulichopewa na Mungu na hzo ndizo akili zakoWewe sio macho yangu kusema kuwa sijasoma posti za nyuma sijui mbele huko!!!!
Nina furaha kubwa kuwa hutapata fala hata mmoja
Ndo Tapel wa JF aliyekuja na gia kama ya huyu ya kununua vitu kwa kutoa advance anaagiza nje yaani watu walilizwa balaa naona kaja na ID mpya hapa kuwapata wajinga wengineKelvin Isaya Ndo nanii..????
HUYU JAMAA NAE NI TAPELII TUU..!! nikupe advance huna hata ofisi..??? Kaa chini fikiri tenaa kijana... Maisha sio rahisi kama anavyofikiriNdo Tapel wa JF aliyekuja na gia kama ya huyu ya kununua vitu kwa kutoa advance anaagiza nje yaani watu walilizwa balaa naona kaja na ID mpya hapa kuwapata wajinga wengine