Order ya simu

Napata mashaka na majibu yake sijui kama kwel kuna biashara hapa au Kelvin Isaya kaja kivingine yaani mtu ukiumwa na nyoka ata jani likikugusa tu lazima ustuke
Ni haki useme hvyo boss ili uhaminifu nikitu kizur siku zote kwenye maisha na mm sijaanzia kwenye simu kufanya biashara za hv kiongozi na uwa namdhamn sana alieniam nakunipa dhamana ya pesa yake uwez jua ameitoa wap
 
Muda mwingne kuropoka kutakuja kukuponza sawaa hv nikale ela yako kwa kisa gan leo kesho wewe utaniamin mm kweli nakuniagiza kweli ukiona walikutapeli na kukuingiza mjini hao sio wafanya biashara alafu na maswala ya kuja unaleta lugha zako za kijingi kwa mtu usie mjua uwee unafikiria kiongoz usiwee kama umeshikiwa akili sawaa
 
Mkuu mi nna huawei mate 9.. RAM GB 4 internal GB 64
nipe 600k tu nakuachia.. Bado mpya
Unaeza nicheki 0659337348
 
utatapeli wanawke tu hel ya mwanaume inaptikna kw jasho sana
Hata ya mwanamke pia anaipata kwa jasho kiongoz ukiona mtu anakutapeli ujue huyo sio mfanyabiashara na anajiaribia kwasababu leo kesho utakuja kuwa na kampuni mje mkutane uso kwa uso hv unadhan inakuaje usiseme usichokijua sawaa sijui mtapeli mwanamke sijui kitu gani mm ni mfanyabiashara kujenga trust kwa wateja hicho nikitu cha kwanza mengne baadae maana nyinyi ndio mnao tuweka mjini kiongoz leo nikibeba pesa yako unadhan ntafaidika nn maana sijui ulipo itolea mwishowee niambulie laana na kurud nyuma kibiashara wakat hiyo sio plan yangu plan nikufika mbali zaidi kibiashara
 
[QUOTE=
Pole mkuu usisikilize maneno ya kukukwamisha, wengi tunao koment hapa sio wateja,wateja hukufuata pm au kwenye mawasiliano mengne utakayo toa .Nakushauri unapotoa uzi wa tangazo hakikisha unaweka mawasiliano muhimu pia kwa post kama yako hii ni vyema unge oanisha na ofisi unazopatikana.Good morning!
 
Nauli ya korea ghali vp ikushinde ata ela ya frem au unataka kufungua ofisi posta
Kaka ata mbuyu ulianza kama mchicha kiongoz sawaa na korea sifat simu tu na vitu vingne pole pole ndio mwendo ata baresa akuamka na kujenga mapipa yale alianzia kidogo kidogo mpaka sasa analisha tanzania nzima kiongoz mdogo mdogo ndio mwendo na ujazaliwa ukazikuta pesa bali unatafuta iliufike mahali ndugu yangu siku za mbeleni ofisi na kila kitu kitakuwa sawaa
 
Napokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Duuuh biashara ngumu... Yaani unauza simu sisi ndio tukuombe mawasiliano, tukuuliza ofisi iko wapi.... Tangazo la biashara hili au maigizo??
Akili za Kibongo Movie bwana... Full Kolomije...
 
Utapeli mtupu..!isaya kelvin on work.
Tatizo la kukremisha litakokost ndugu yangu mm sipo hvyo nikisha kutapeli napata nn kwan jf ndio mwisho wa kukutana uwez jua za mwiz arobaini tukakutana uso kwa uso na pili sito weza kufika mbali kibiashara maana kila mtu akiwa anakulalamikia unadhan unaendelea au ukiniamin wewe ukanipa dhamana ya pesa yako kisha nikakutapeli mm najua umeitoa wap kama nikwenye uganga au asubuh mchana usiku kucha unaisaka hyo ela leo hii nikutapeli ntafaidika nn wewe ukikaa ukimlalamikia Mungu wako mm ntapona kweli unavyo dhani na ukiwa mfanyabiashara kujenga trust na wateja wako nikitu kizuri sana na unakua na sifa nzuri maana kwa sasa hv watu wanafanya biashara kwa njia ya mitandao kiongoz leo nikikudhulumu sipat faida mm
 
Mkuu mi nna huawei mate 9.. RAM GB 4 internal GB 64
nipe 600k tu nakuachia.. Bado mpya
Unaeza nicheki 0659337348
Asante kaka akitokea muhitaji ntamwambia ila mm uwa nazifata kiongoz na nying uwa na samsung na lg na iphone nichache sana naletaga boss
 
Unafanya biashara umeisomea au ndio sawa na wakulima kwa jembe la mkono?

Unafanyaje bishara mtaji unategemea kwa mteja?!!!!!

Acha ubabaifu.
 
 
Chagua wewe uniambie mm nataka tablet hii ni bei gani kwa uko ndio nikuambie tajiri yangu maana zipo za aina nyingi boss wangu
Hujanipa options za kuchagua nitachagua vipi nipe options na bei zake na specifications zake nichek bajet yang
 
Anaweza kuwa sio kelvin bali ni Propesa lipumba😀 buguruni pamepauka ujue!!!!!
Ni haki uwaze na kunena unachokisema ila atakae tokea na kuniamin akanipa dhamana ya pesa yake atakuambia kwamba mm ni mtu wa aina gan na sio hv kila mtu anatoa neno lake shaur amesha kremisha kila mtu ni yule yule wengine biashara mitandaon ndio maisha yetu tu alisha familia na uwa namdhamini sana anaeniami mm na kunipa dhamana ya pesa yake
 
Unafanya biashara umeisomea au ndio sawa na wakulima kwa jembe la mkono?

Unafanyaje bishara mtaji unategemea kwa mteja?!!!!!

Acha ubabaifu.
Embu soma kichwa cha habari uelewe sawa nimekuambia ni mtaji au nazileta kwa order ata kama mtu wakiagiza watano bora najua azito kaa kama nilizoleta mwanzon na zimebak tatu tu sio unasema tu kwa kuwa mdomo umepewa bure kiongoz na hulipi kodi
 
Asante kaka akitokea muhitaji ntamwambia ila mm uwa nazifata kiongoz na nying uwa na samsung na lg na iphone nichache sana naletaga boss
Kitu kinachonishangaza seke seke la Kelvin lilikuwa hivi hivi alivotokomea hakuna ambaye angeamini
Sasa na wewe umejoin JF March 18/2017.... Sijajua umekuja kwa lengo la kuwapiga watu au kufanyabiashara ndo maana mashaka hayaniishi
 
Maneno yako hayana bima.

Ulichoninukuu sicho ulichojibu na ulichokiedit ndicho kimehusika.

Ila huu msamiati wako wa "kukremisha" unaonyesha level yako ya utapeli bado ipo chini kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…