Oral interview NHIF kupitia sekretarieti ya ajira leo tarehe 18/04/2018

Karibuni kwenye utumwa wa umma...kuna yule dogo alipata kazi t.r.a ikawa kutwa nzima anatusumbua humu kwa thread...ckuhz baada ya kuona maisha ndani ya ajira yalivyo naona katulia kawa mpole hahaaah
HA HA HA HA HA HA HATARI SANA
 
Karibuni kwenye utumwa wa umma...kuna yule dogo alipata kazi t.r.a ikawa kutwa nzima anatusumbua humu kwa thread...ckuhz baada ya kuona maisha ndani ya ajira yalivyo naona katulia kawa mpole hahaaah
Hiyo inaitwa kumtumikia kafiri
 
Salaam.

Tuliofanya Oral interview naomba tukutane hapa ili kupeana mrejesho maana nimesahau hata kuliza lini wanatoa majibu rasmi na kupewa barua za vituo vya kaz.
Secretariate wame upload majibu toka tarehe 17/05/2018 lakini hakuna majina ya NHIF wala ya PTF na wakati wa interview walitangaza kuwa majibu watatoa Secretariate.
 
Back
Top Bottom