'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

23K au 230K
Hii hapa
Screenshot_20230920_091902_AliExpress.jpg
 
GM2 PRO

Nimeorder haka kadubwasha aliexpress nimeona kana review nzuriView attachment 2753824
Lenovo GM2 pro ziko vizuri kwa pods za bei hizi, nimeziuza toka mwaka jana na nilikuwa natoa warranty. ila tofauti na aina nyingine ambazo nimeuza, hizi hazisumbui kwa zaidi ya 99+%, hiyo 1% nimetoa kwa hakiba tu.

kesi nliyowahi kupata ni moja tu, nayo ilikuwa kabla mteja hata ajaanza kuzitumia nilituma nnje ya Dar, nikamtumia nyingine. kwa idadi niliyo uza kusumbua pisi moja, ningeweza kusema hizi ni bora kwa 100%.

Kesi nyingine ni mmoja nilimuuzia mwaka jana, mwezi wa nne mwaka huu akaniambia haziimbi kwa pamoja, nikamuambia aje nazo dukani, ila siku anakuja hakunikuta dukani, wakampa nyingine. ila ilikuwa ni kuzi reset tu kwa kutumia tachi yake. Nika reset ziko zinafanya kazi hadi muda huu niko nazitumia, hivyo toka zianze kutumika zina karibia mwaka na bado ziko vizuri Chaji, Sauti, mic, tachi na case vyote viko vizuri.

Hizo positive feedbacks nimezipata sana.

Ila wanazo toa saizi kidogo zinautofauti na bei imepungua.

Pia kuna QCY t13 ziko viruzi zaidi, ingawa bei yake karibia mara mbili ya GM2 pro.
Ukiwa una edit sound effects (equalizer) baadhi ya settings kwa baadhi ya earphones sauti huwa inakata ila qcy t13 inaendelea kukupa sauti nzuri.
 
Bei gan unauza
 
Uhakika kaka. Nimeona review zake pale aliexpress. Kwakweli raia wengi wameridhika nazo sana tu
 
Back
Top Bottom